Recent content by sixbert19

  1. S

    JamiiForums Tanzania Kunguni na Mende ndani ya basi la abiria!

    Msbasi ya nzega-tabora yana kunguni Wa kutosha tu.
  2. S

    JamiiForums Tanzania Sikia maajabu haya ya Mwalimu wa shule ya Kata

    Inawezekana haya kwako yakawa maajabu, kwa sabab we ulisoma English medium school? ila kwa shule zetu hiyo ni kawaida xana hapo kaongea na wanafunzi wameelewa
  3. S

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Weka vizur tangazo, mi kama vile cjakuelewa
  4. S

    JamiiForums Tanzania GB 30 kwa 100/=

    Msaada, sim imelock vp naweza kufungua bila kuflash?? Naogopa kuflash nitapoteza kumbukumbu zangu, msaada wadau.
  5. S

    JamiiForums Tanzania Nisaidie jinsi ya kunlock cm yangu "Ideos""

    Kuna sim ya ideos huawei imeblock na patterns, naogopa kuflash nitapoteza vitu vyangu msaada kwa anayejua jinsi ya ku unlock.
  6. S

    JamiiForums Tanzania Maajabu ya Mafuta ya Bunduki

    Cna uhakika ndugu labda tufanye utafti, ila hapo kwa nyoka ni sawa ila kwa swala la uchawi mmh.!
  7. S

    JamiiForums Tanzania Tamko la Al-Shabaab kufuatia mashambulizi ya kigaidi Garissa

    Hivi labda mi sijui kilichowatoa wakenya mpaka somalia ni nin hasa??
  8. S

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Anaetaka kwenda TABORA -sikonge tubadilshane na mkoa wowote secondary tuwasiliane 0715 889 333
  9. S

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Anayetaka kwenda TABORA- SIKONGE Tubadilishana na Dodoma, Tanga., Njombe au mkoa wowote wa pwani... secondary 0715 889 333
Back
Top Bottom