Recent content by Six moth

  1. S

    Je, utamkumbuka Hayati Magufuli kwa mambo gani?

    Mimi nitamkumbuka kama laana kubwa tuliopata watz haswa katika swala lauzulumati wa sisi wavuvi kata yakalya pamoja nakuwadhana zetu kuwa halali pamoja nakuwa naleseni jamaa alihitaji pesa za ziada ilimali yako aiache nakama haunapesa wanateketeza ulicho nacho na kuteka vingine mungu amlani...
  2. S

    Hayati Dkt. John Pombe Magufuli hakuwa mnafiki

    Mungu amlani kwa kunitia umasikini mm mvuvi niliokuwa namiliki vyombo halali aliingiza unafiki wake kwa kusema kunanyavu haram ivikweli zana haram unaikatia leseni?lengo lake ilikuwa nipesa kama walivysema watekelezaji tulipo wanyima pamoja nakuwa tunadhana halali wakachoma tunamuomba mama...
  3. S

    Waziri Medard Kalemani asiondolewe Wizara ya Nishati

    Mimi naona nibora atimuliwe tu kwani toka aondoke jiwe kigoma umeme unakatika sana baki ukitoa 50 unapata unit 14 tu kwanini ametuweka kwenye matumizi makubwa hatahivyo unit zinakimbia ilemvaya wakati natumia taa za wat5 zipo 3 na 2 nazima wakati wakulala lakini hadi nauona umeme kama anasa tu
  4. S

    Zitto Zuberi Kabwe nisikilize kwa makini

    Mbona sikuelewi waziri wakuelimisha muha makamu wa rais muha sijui unatatizo gani kukubali hoja nacho nikipimo cha kuelimika lekatudigite kgm
  5. S

    Zitto Zuberi Kabwe nisikilize kwa makini

    Mimi niwakigoma lakini jamaa heshima yake imeshuka aende tu CCM hana mvuto zito amebaki wahovyo kabisa.
  6. S

    Wilfred Mwalusanya Katibu wa CHADEMA Wilaya ya Mbozi aachiwa huru baada ya kusota rumande kwa miezi 8

    Na vipi kuhusu mashehe wetu naona wanaachiwa wengine wao kimya vipi basi wahukumiwe tujue onezi tulisha ambiwa serekali inaonea sana waislam alitamka gwajima
  7. S

    TANESCO wapata hitilafu katika mfumo wa kununua umeme wa LUKU

    Katika waongo wewe nimuongo labda ulikuwa unaota ndoto
  8. S

    TANESCO wapata hitilafu katika mfumo wa kununua umeme wa LUKU

    Kwakweli mama amtoe kalemani hapo naona anamuujumu mama toka magu atangulie huku kigoma kwanza umeme unakatika sana hatujawahi kushinda bila tatizo alafu watu tumewekwa kwenye matumizi makubwa wote naukiweka hiyo luku ya 10000 unapata unit 28 hata mwezi aumalizi zinakimbia kama nini sijui mfano...
  9. S

    Napendekeza iundwe Tume Huru ya kuchunguza kifo cha Hayati Magufuli

    Kwahiyo ndio rais wakwanza kufa duniani?muumba amesema wapi ukiwa rais huwezi kufa kama kuku ? Tuambie kidini au kisayansi namna ya vifo vilivyo pangwa kwa madaja
  10. S

    Napendekeza iundwe Tume Huru ya kuchunguza kifo cha Hayati Magufuli

    Kifo cha mkapa sio muhimu? Tuache ujinga kifo kipo tu ndugu zako waliotangulia umefanya uchunguzi ?acha ukenge
  11. S

    Rais Samia amsimamisha kazi Ole Sabaya, Mkuu wa Wilaya ya Hai ili kupisha uchunguzi wa tuhuma dhidi yake

    Samahani nilikuwa namjibu mayala kwenye hoja ya teuzikuhusu swala jinsia naomba ichukuliwe hivyo
  12. S

    BAVICHA kusherehekea sikukuu ya Eid El Fitri Gereza la Ukonga pamoja na Mashehe wa Uamsho

    Mmeona tuhuma walizo wakamatia na kuwaweka ndani hazina mashiko sasa mnataka kuwatupia kesi zamauwaji kutoka ugaidi
  13. S

    Hii nchi ilikuwa inaweza kwenda zake tu, angalia soko la Bilioni 1 na nyumba ya Milioni 350

    Wewe pumbavu limejengwa wakati wanani? Tuanzie hapo
  14. S

    Rais Samia amsimamisha kazi Ole Sabaya, Mkuu wa Wilaya ya Hai ili kupisha uchunguzi wa tuhuma dhidi yake

    Tunamuhitaji mama asiangalie wale viongozi waliowakorofisha matajiri pekeyao ndioanawachukulia hatuwa nasisi wavuvi ziwa tanganyika wa kata yakalya tumefanyiwa uonevu mkubwa hatuja sikia nanikawajibishwa kwa kuharibu malizetu halali ilatunaona waliowakorofisha matajiri ndiohatua zinachukuliwa...
Back
Top Bottom