Msichukue juju hoja ya kujitoa nionavyo mimi wapinzani wanahoja huwezi kuwachaguliwa wenzako tufanye mashindano pale hapa hapana kwamaana nyingine sehemu zawapinzani ndio amechukua tayari zinazopiganiwa sehemu nyingi nizile mshindi ni ccm hatamkiwashinda labda kwa bahati mbaya
Kaka Nashukuru kwakuupokea mchango wangu kunanako swala lamaji ya uhakika tanzania huwezi kutembea kilomita 25 hujakuta maji ambayo unaweza kututumia kwa umwagiliaji katika eneohusika tunamvua zakutosha nikiasi cha kujenga mabwawa nakuyavuna maji ambayo mungu katupa bure Sisi tunayapoteza sehemu...
Kwangu mimi tungeanza naumwagiliaji nchi nzima sehemu yapili umeme kwamaana ukiwa naumeme viwanda vingekuja bila shida unapokuwa namaji na umeme vyauhakika uwezi kosa viwanda vingejileta tu Nalatatu kwamimi reli tatizo haikuwa usasa bali usimamizi mbovu nakuboresha ile kama walivyofanya kwenye...
Kwanini chadema wanachukuliwa kama siwatanzania nikiangalia hata taarifa zao sizioni kama ilivyokuwa zamani kwakweli pamoja nayote sintowasahau wamenifunza makubwa kuliko chama chochote Sikuwa mwanachama wala mshabiki wao bali nimepata mafunzo kupitia mikutano yao wanajuwa kufundisha kweli...
Wananchi tunajua mtuanaposema nitatoa m 50 kila Mtaa nakila kijiji na unaposema nitajenga vituo vya afya elimu bure umeme nareli nihadi tofauti kuziweka pamoja nakutulazimisha tuamini nimoja hawezekani waliokuwa wanaamini hivyo kizazi chakubadishiwa mada kimebakia kidogo hiki hakidanganyiki
Nionavyo mimi kama yanayo wapata hawajamaa ndio ingekuwa ni hao Wanaojiona wenchi kuliko wengine wangekuwa wamekwisha lakini hawa wananguvu yawanchi ndiomaana wapo pamoja nakufanyiwa vurugu wanaokopwa kwenye uchaguzi ifikie mahali mkubali wadadisi mlikuwa mnapendwa nawasiokuwa wasomi na wazee...
Zitto n
Chai sio muhimu iwapo unaishi kwa wasiwasi hivi kweli pamoja najumuia zakimataifa kuamini Tanzania ndio Nchi muhimu katika kutatua migogoro yawenzetu iliwaishi kwaupole kama Sisi iweje sisi tutangulize mabavu kuliko tunavyo zaniwa niniwatambue tuliowasuluhisha? Hatuoni tunakwenda kupata...
Inawezekana kweli hukunielewa nachokisema nikwamba wasilazimishe kuviweka vyama nawagombea wake ikiwa chama kimesema hakitaki kushiriki uchaguzi iwapo wakilazimisha huenda mgombea huyo akashinda nachama hakimtambui hawaoni inaweza kusababisha uchaguzi kurudiwa nadhani umeelewa sasa
Tatizo kilakitu tunazani ni mabavu hatakuomba tutumie mabavu hatufiki tukikumbuka wavuvi vyavu halali zilichomwa huu ulikuwa muda wetu sasa kwakua wanahisi mambo mengi hayakuwa sahihi sasa nawao wameshuka kwenye cheo chaungu nakuvaa ubinaadamu wameingiwa nahofu kubwa wanajaribu mabavu.
Kwa kweli leo nadhani wanaona kunaumuhimu wamgombea binafsi wangepata chaka lakujifika kila siku tunaambiwa mh kafanya kazi kuliko nawapinzani wakaacha nafasi zao kwenda kuunga juhudi za mh pia vyama viunga navyo mkono kulazimishana kunatoka wapi nilitegemea kwakile kilichokuwa kinazungumzwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.