Sababu za CCM kuweka mpira kwapani

Sababu za CCM kuweka mpira kwapani

Molembe

JF-Expert Member
Joined
Dec 25, 2012
Posts
9,932
Reaction score
11,863
Kuna msiri wangu yupo jikoni huko kanipa sababu za kwanini ccm na serikali yake waliamua kuweka mpira kwapani mapema na kujitangazia ushindi serikali za mitaa,.

Chanzo changu kinasema kuwa ccm na serikali yake walifanya utafiti mapema sana, na wakagundua kuwa hawakubaliki na stone wananchi hawamuelewi, namna ya kuiba kura ikashindikana maana uchaguzi huu ulikuwa unafanyika ngazi ya chini hivyo polisi wasingeliweza kuthibiti maeneo yote.

Suluhisho likawa ni kuwakata wagombea wa vyama vingine ili uchaguzi usifanyike kabisa, kwa vile refa ni wao walitumia vikanuni vyao walivyovitunga kuwamaliza upande wa pili, ingawaje hujuma zingine kama kufunga ofisi zilitunga pia.

Mnyetishaji anadai katika mambo yanayomuumiza stone ni pamoja na utafiti kuonesha hakubaliki.
 
MTUPOLI kazingua sana kutuonyesha ulimbukeni wa madaraka, na ushamba wake umetufanya watanganyika na wazanzibar kwa umoja wetu tumzarau na kumpuuza kabisa kabisa, yeye na CCM yake. (CCM ya Magufuli ni genge la kigaidi linalo ratibu UGAIDI IKULU) futa kabisa ndani ya mipaka ya Tanzanzia.
 
Wananchi tunajua mtuanaposema nitatoa m 50 kila Mtaa nakila kijiji na unaposema nitajenga vituo vya afya elimu bure umeme nareli nihadi tofauti kuziweka pamoja nakutulazimisha tuamini nimoja hawezekani waliokuwa wanaamini hivyo kizazi chakubadishiwa mada kimebakia kidogo hiki hakidanganyiki
 
MTUPOLI kazingua sana kutuonyesha ulimbukeni wa madaraka, na ushamba wake umetufanya watanganyika na wazanzibar kwa umoja wetu tumzarau na kumpuuza kabisa kabisa, yeye na CCM yake. (CCM ya Magufuli ni genge la kigaidi linalo ratibu UGAIDI IKULU) futa kabisa ndani ya mipaka ya Tanzanzia.
CCM ni janga la kitaifa
FB_IMG_1572697051230.jpeg
 
Nimemsikia M/kiti Ccm mkoa Dodoma akijisifu "sisi Dodoma hatukufunga ofisi za watendaji hakuna aliye jitokeza wa upinzani kuchukuwa fomu ni wawili au watatu" nimeshindwa kumuelewa huyu mwenyekiti ipo ktk U tube
 
Sasa huko ndo kuweka mpira kwani❓❓❓⁉️
 
Back
Top Bottom