Kamgomoli
JF-Expert Member
- May 3, 2018
- 1,865
- 3,800
Waziri wa mifugo na uvuvi amejikita katika kusifia vitu ambavyo kiuhalisia havionekani. Hotuba nzima ni sifa tu. Sjui hawa mawaziri wamepatwa na nin. Nilitegemea kwenye uzinduzi wa mkakati huu wa mifugo wa 2020-2025 azungumzie changamoto na mikakati ya namna ya kutatua. Nahisi Rais wetu anadanganywa sn na wateule wake. Hizi sifa ni tooo much,wala hazimsaidii hata yeye.