Please bro, niambie hizo habari za Lucifer amekuapa nani? kama Mungu alikushukia akakuhadithia story za Lucifer andika hiyo experience yako. lakini kama umesoma mastory na simulizi za watu wengine trust me you have bamboozled na hicho kitabu cha ufunuo kimeandikwa na wajanja janja kushika akili...
kwanini binadamu tunafikiri au kuwaza kwamba kuna ufalme mwingine unapambana na Mungu?
Huyu huyu aliyeziumba mbingu na nchi? huyu huyu aliyetengeneza na kufanya kila kitu katika uso wa nchi?
Lazima tunamatatizo ya kimtazamo pia hatupendi kuwaza zaidi ya hadithi tunazopigiwa na wajanja janja...
Angalizo! shetani sio kiumbe... shetani ni nafsi ya mtu kugengeuka na kuwa muasi, Mungu hawezi kuhukumu wanadamu kwasababu eti kiumbe fulani kawakengeusha
Blaza shetani sio kiumbe..... Aliyempeleka Yesu mlimani ni Roho Mtakatifu. Yesu alijaribiwa na nafsi yake mwenyewe kuona kama...
Habari mkuu, unajua kuwa hakuna shetani? Kuna mapepo, a.k.a majini n.k?
Shetani sio kiumbe. Shetani ni uovu yaani tamaa, uasi, roho mbaya, n.k.....(ushetani) na haujaumbwa hali hii haikuwahi kuwepo kabla kwa mara ya kwanza ilionekana kwa nyoka kwenye bustani ya Eden.... Sasa ukisema ulokole...
WaTZ tuachage ushabiki wa mambo tusiyoyaelewa. labda issue because ipo moja tu ndio maana mimacho inatutoka... tuwe na tabia ya kuelewa mambo sio lazima kila kitu tuelezewee.... ni kwamba hii ndege ni ya kisasa sana, sasa lazima iwe inafanyiwa ukaguzi mara kwa mara, ili kumaitain ubora wake...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.