Recent content by SirSalumu

  1. SirSalumu

    JamiiForums Tanzania Uhakiki wa vyeti vya kuzaliwa RITA

    angalia pembeni ya cheti chako kuna hizo namba
  2. SirSalumu

    JamiiForums Tanzania Naombeni majibu ya swali hili la Kiswahili

    Naombeni majibu ya swali hili. JADILI mchango wa tamthiliya andishi ya Kiswahili katika historia ya Tanzania.
  3. SirSalumu

    JamiiForums Tanzania Nakupenda ya King Kiba hakika ni funga mwaka kweli kweli

    😂😂utopolo gani sasa duuuh team Kiba napenda mnavyojipa matumaini
  4. SirSalumu

    JamiiForums Tanzania Wanaojua mawasiliano ya TAMISEMI au Wizara ya Elimu nina shida muhimu sana

    Huyo was form four muache atumie hivyo hivyo kwa sababu ashasajiliwa tayar
  5. SirSalumu

    JamiiForums Tanzania Bodi ya Mikopo Elimu ya Juu yafungua dirisha la maombi kwa siku 40, yatoa muongozo

    Tuusome kwa makini ili tupate mikopo inshallah ====== Tunapenda kuwafahamisha wanafunzi wahitaji wanaotarajia kuomba mikopo ya elimu ya juu inayotolewa na Serikali kupitia HESLB kuwa mfumo wa uombaji wa mkopo kwa njia ya mtandao utakuwa wazi kwa siku 40 kuanzia Jumanne, Julai 21, 2020 hadi...
  6. SirSalumu

    JamiiForums Tanzania Tuliokosa mkopo awamu ya kwanza na ya pili wenzangu mnajiskiaje

    mungu mwema kwako ww mm nimekosa
  7. SirSalumu

    JamiiForums Tanzania Mikopo

    vp jina lako limo kweny orodha
  8. SirSalumu

    JamiiForums Tanzania Mikopo

    weka link
  9. SirSalumu

    JamiiForums Tanzania Mikopo

    weka iyo link
  10. SirSalumu

    JamiiForums Tanzania Tatizo

    duuh pouw
  11. SirSalumu

    JamiiForums Tanzania Tatizo

    TCU walitangaza kuwa tarehe 10 ni siku ya vyuo kutangaza majina ya waliowadahili katika awamu hii ya nne cha ajabu hadi muda huu akuna chuo kilichotoa majina wanajf akuna anayejua sababu? mimi sijaelewa bado
  12. SirSalumu

    JamiiForums Tanzania Kwa yeyote aliyechagulia kampala university

    vp mm nimechaguliwa hapo
  13. SirSalumu

    JamiiForums Tanzania Inakuwaje Ommy Dimpoz anaingia kwenye Category nyingi za Afrimma kuliko Harmonize na Rayvany?

    nimechelewa au nimewai :p:p:p:p:p:p:p
  14. SirSalumu

    JamiiForums Tanzania ukweli

    hivi kwamfano uliomba vyuo vinne ila majibu yalivyotoka ukapata kimoja na ww aujakipenda inakuwaje au niombe tena
  15. SirSalumu

    JamiiForums Tanzania kero

    nimelipa chuo dodoma lakini cha ajabu wananiambia cjalipia
Back
Top Bottom