Tatizo

Tatizo

SirSalumu

Member
Joined
Jul 1, 2019
Posts
19
Reaction score
8
TCU walitangaza kuwa tarehe 10 ni siku ya vyuo kutangaza majina ya waliowadahili katika awamu hii ya nne cha ajabu hadi muda huu akuna chuo kilichotoa majina wanajf akuna anayejua sababu? mimi sijaelewa bado
 
kiini macho tu vyuo vimejaa..ata wakitoa watakao kua wame pata ni wachache sana
 
Back
Top Bottom