Mikopo

Mikopo

Hata mm naulizia majina yameshatolewa au bado maana wametoa taarfa kuwa wameshatoa majina
 
Wanasema wait for allocation au ndo unakua ujapata??
mm mwenyewe wameniandikia hvyo nafkir tuliokosa ndo tmeandkiwa hvyo ila nataka niende bodi nkajue kabsa najua leo watakuwepo na wengne wenye matatzo wameshatoa kW elfu 30 wamebaki kama elfu 15 kwa mujibu w bajet inaabd leo niende palepale nkapambane huu mwaka w 2 mfululizo nakosa laf majina hawajatoa
 
Back
Top Bottom