Recent content by sirkaka

  1. S

    Watu wengi wanasema "Mchele wa Mama" ni mbaya na unalenga kuua soko la mchele wa ndani

    Changamoto ya kupanda kwa bei ya nafaka ni matokeo ya vua chache msimu uliopita kwa hiyo serikali inacho fanya ni kupunguza ukali wa wa maisha kwa kuagiza mchele nje ya nchi na jambo hili si Tanzania pekee ,hata nchi jirani zina experience hali hiyo hiyo tuombe Mungu msimu huu mavuno yawe mazuri...
  2. S

    Zambia yabadilisha uniform za jeshi la Polisi

    Mtoa mada are you sure with what you trying to convince the panel? Zambia kuna police wa magereza na hiyo unayosema ni mpya ndio uniform wanayotumika sasa Napatwa mshangao?
  3. S

    Nitajie kitu kimoja Mungu aliumba/ aliweka hapa duniani kinavutia kutazama zaidi ya Mwili wa mwanamke

    You can't fight against nature hivyo ndivyo ilivyo na ndio maana tunazaliana ingekuwa si hivyo inaawezekana idadi ya watu ingekuwa ndogo na kungekuwa na ukatili dhidi ya mwanamke lakini badala mwanaume hata awe katili au jambazi namna gani bado kwenye mapaja ya mwanamke hana ujanja anatulizwa na...
  4. S

    Kamala Harris karibu Tanzania ila usitupige chenga kama Wazambia, au umekosea?

    ni lugha tu ndio wakati flani inachanganya kingereza kikitafsiriwa kuja kiswahili some time unaweza sema ni boko kumbe yupo sahihi .in her formative years vice president Harris kamala visited her. ancestor
  5. S

    Kamala Harris karibu Tanzania ila usitupige chenga kama Wazambia, au umekosea?

    ni lugha tu ndio wakati flani inachanganya kingereza kikitafsiriwa kuja kiswahili some time unaweza sema ni boko kumbe yupo sahihi .in her formative years vice president Harris kamala visited her ancestor.
  6. S

    Lema asema hakubali mtu kuuawa kwa kuwa ni shoga

    Usitegemee chochote kutoka kwa Lema kupinga hili jambo in public kwa sababu kule alipo kimbilia kutafuta asylum ili uqualify kupema asylum seeker ni either uwe mkimbizi wa kisiasa au mtu ambaye usalama wake upo hatari kutokana na kujihusisha na vitendo vya usodoma katika nchi husika ,hivyo kwa...
  7. S

    Hivi Kenya maisha ni magumu kwa kiasi gani?

    Raila anatake advantage wakujitafatia umaarufu wa kisiasa lakini kiukweli hata angekuwa ni yeye hakuna jimpya lolote angefanya kurekebisha hali uchumi kwa sababu ugumu huu ni kutokana na vua kuwa chache msimu wa kilimo uliopita na kama matokeo nchi nyingi za africa zinaexperience consequences .
  8. S

    Ukiwa umebeba pesa nyingi fanya kila uwezalo Polisi wasijue

    Haya yanayosemwa hapa kama hujawahi kukutana na matukio ya kunyan'ganywa fedha na police waweza sema labda ni chuki binafsi watu walizonazo juu ya police lakini ,kuna baadhi ya police are real criminals in police uniforms na hawa ndio wanafanya raia kuchukia police kupindukia maana unafanyiwa...
  9. S

    Godbless Lema: Samia ni Rais bora ambaye hajawahi kutokea Tanzania

    Siasa za kiafrica ukizielewa hazikusumbui .Press your opponent to the max mpaka aseme poo alafu baada ya hapo mpe chai na mkate
  10. S

    Mambo ya kuzingatia ukifikia nyumbani kwa mtu

    Mfumo wa maisha kwa dunia ya sasa unebadilika watu hawapendani umfumo wa ubepari ndio unatawala ukileta itikadi za kijaamaa unatafuta lawama na watu .Ili uheshimiwe usipende kupokea bali uwe mtoaji .
  11. S

    Mahakama ya Kimataifa ya ICC yatoa hati ya kukamatwa kwa Rais Vladmir Putin wa Urusi

    Kivipi icc wana issue rest warranty kumkamata putin wakati Russia sio signatory wa hiyo mahama ?Hii imeakaje?
  12. S

    Ubongo wa mwanamke haupevuki

    Ni kweli kabisa ubongo wa mwanamke huchelewa kupevuka na hii ni nature na ukitaka kuprove fanya simple research kama nyumbani una watoto act kama una wanunulia zawadi kama nguo au chochote kile watoto ambao amewazaa mwenyewe mara kwa mara alafu yeye usimnunulie licha ya kwamba anafanya kazi...
  13. S

    Ni Sahihi kumnunulia dada, mama au mama mkwe nguo za ndani?

    Kwa mwanaume kumnunulia mama mkwe is totally unethical ila kwa mwanamke kumnunulia mama mkwe wake nguo za ndani will depend na situation maana wanawake wanajuana vizuri sana máana tunapozungumzia nguo za ndani si tu pichu bali kuna sidilia ,shumizi,underskirt, skintight ,pensi nyanya k,mashine...
  14. S

    Maridhiano ya CCM na CHADEMA Ndiyo Kawaida ya Vyama vya Siasa Duniani Ilivyo?

    Wengi wanaweza kuibeza chadema kwa uwamuzi iliyochukuwa ,zaidi viongozi wao waandamizi kama Mbowe kwamba wamekubali ku compromise lakini ilikuwa hamna namna hii ndio njia peke kwa nchi kama Tanzania , mbinu inayoweza zaa matunda ,why? Viongozi walitoa maelekezo kufanyike maandamano kupinga...
  15. S

    Kama Rais anakiri kuperuzi JF, tujitathimini na kutumia vema Jukwaa hili

    jamii forum is on another level ,miaka mingi viongozi wa nchi wamekuwa members humu mtoa mada kama ulikuwa hujui hili .Jambo la msingi ni kuzingatia lugha za staha na kuondoa mizaha na kejeli za kijinga more especially jukwaa hili la siasa ,mbali na hapo acheni ngano na magugu zikue pamoja.
Back
Top Bottom