Kamgomoli
JF-Expert Member
- May 3, 2018
- 1,865
- 3,800
Ukisikiliza vyombo vya habari na mitandao taarifa nyingi zinaonyesha Kenya kuna maisha magumu. Kwa mlioko Kenya au mnaoenda Kenya mara kwa mara hivi ugumu wa maisha ni wa kiwango gani kulinganisha na Tanzania? Mfano bei ya vyakula( mahindi,mchele)n.k.Maana kwa sisi tunaosikiliza inaonekana km hali ni mbaya sana.
Hebu tupeni ukweli wa hali ilivyo huko kwa wenzetu maana kila siku ni maandamano.
Hebu tupeni ukweli wa hali ilivyo huko kwa wenzetu maana kila siku ni maandamano.