TODAYS
JF-Expert Member
- Apr 30, 2014
- 13,745
- 21,196
Amani kwako mdau.
Direct kwenye topic; Huyu mama dada yangu Kamara Harris ametua Zambia na kufanya kilichompeleka kwa mjoli mwenzangu Rais wa Zambia Mh. Hichilema.
Mara baada ya purukushani kadhaa huyu mama akadai miaka ya 1960, babu yake mzee Gopalan aliyewahi kuishi nchini humo baada ya serikali ya India miaka hiyo kumtuma huyo babu kwenda kuwachukua wakimbizi wa kihindi waliokuwa hapo.
Yaani kuongea hilo amewapa usumbufu na kashikashi maafisa ubalozi wa marekani, wananchi pamoja na serikali ya Zambia.
Wapi nasema asije akatupiga?
Huyu makamu wa Rais Kamara alizaliwa October 20. 1964 na anasema mwaka 1960 aliwahi kumtembelea mzee Gopalan wakati akiwa mdogo, au aliendaje kwa babu yake akiwa hayupo duniani?.