Recent content by Siri yangu

  1. Siri yangu

    JamiiForums Tanzania Binti mvaa Ninja amtuhumu John Heche kumtelekeza

    Sasa kuliwa aliwe yeye na uzembe afanye yeye alafu aje kutulilia sisi huku ? Tufanye ni kweli ametelekezwa kwani alikuwa hajitambui kuwa analiwa na ataachwa?😂😂😂😂
  2. Siri yangu

    JamiiForums Tanzania Mwenye rekodi ya Simba SC kumfunga Yanga SC refa akiwa Arajiga aiweke hapa tafadhali

    Mtani unatesekea wapi mkuu! Au mitaa ya kanisani pale, jitahidi kesho udongo uwe mwingi maana wakurya wengi wanakuja kuununua kesho
  3. Siri yangu

    JamiiForums Tanzania Kazi Kada ya Kuonja Chakula Ikulu

    Alikwambia nani?
  4. Siri yangu

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mwigulu azungumza na wawakilishi wa SpaceX na Starlink

    Utapeli tu hakuna kitu huo mtandao utafika nchini mpaka tupate serikali inayojali watu wake
  5. Siri yangu

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Nimeshangaa huko Instagram NIDA wanahimiza Wananchi wampigie kura mshiriki wa Miss Grand ili waweze kupata “Special Treatment”

    Nchi za wenzetu zenye viongozi halali na wanaojali wananchi idara nzima inafumuliwa hapo
  6. Siri yangu

    JamiiForums Tanzania Nape Nnauye: Mzee Magufuli alikuwa mtu mwema sana.

    TUTAMKUMBUKA SIO KWA "MABAYA"
  7. Siri yangu

    JamiiForums Tanzania Huyu shekhe muongo sana ,alisoma chuo gani ?

    Niwe wa kwanza kupata kadi sasa mamiloo
  8. Siri yangu

    JamiiForums Tanzania Samia hajaonekana kwenye ufunguzi wa mkutano wa 153 wa IPU jijini Arusha

    Kwani yupo?🤣
  9. Siri yangu

    JamiiForums Tanzania Kwanini Makonda asijenge Muslim University badala ya Msikiti wa zaidi ya Tsh. Bilioni 2 pekee?

    Ninachosikitika ni kwamba ukute wewe hapo unafanya kazi chini ya ofisi ya kata na una akili hivi ila Makonda ni waziri wa michezo😭😭😭😭
  10. Siri yangu

    JamiiForums Tanzania Zanzibar: Mwanafunzi wa Shule ya Kizimbani, aliyepotea tangu ijumaa apatikana akiwa kafariki, amekatwa mkono

    Sasa mtoto mdogo kama huyu kosa lake nini jamani mbona dunia inazidi kuharibika ? Cha ajabu police wapo kupambana na chadema kutwa nzima ila uhalifu huu wanashindwa kuunusa na kuokoa uhai wa watu wake
  11. Siri yangu

    JamiiForums Tanzania Breaking news: ndege yatua na tumbo Kilimanjaro airport

    S Sasa si useme nani na nani alikuwepo ili nione bajeti yangu inasemaje hapa
  12. Siri yangu

    JamiiForums Tanzania Nimekuwa mwinjiristi wa kuwashauri wanaume wenzagu wapunguze au waache kabisa kwenda makanisani Nashukuru mwitikio ni mkubwa sana

    Wewe ni mwinjisti wa shetani unaifanya kazi ya shetani , acha mara moja utakufa vibaya
  13. Siri yangu

    JamiiForums Tanzania David Djumbe (Msaidizi wa Tundu Lissu) akutana na Martha Karua

    Sasa yule kichwa maji anajua nini zaidi kupelekewa moto na vijana wadogo ambao ni sawa na watoto wake wa kuwazaa
  14. Siri yangu

    JamiiForums Tanzania Club ya Rio-De-Janeiro iliyopo bukoba mjini sio salama tena kuelekea mvua za Elnino

    Duuh mkuu itabidi nije na msubi wangu siku moja tushangae
Back
Top Bottom