Recent content by sirghanam

  1. S

    JF Business Club: Imeanzishwa rasmi leo na members wenye commitment ya kipekee kabisa

    Hongereni sana, haswa mama Joe kwa ku coordinate, nimefarijika kusikia walihudhuria members wa kutosha.. Nimeshindwa kuhudhuria tukio hili la awali na muhimu kwa sababu ya majukumu mengine haswa tulipohamisha venue kupeleka Dar. Please kama kuna uwezekano mngetupatia mrejesho kwa tulioshindwa...
  2. S

    Ukiona wenzako wanavyofanya ufugaji wa kuku, Mabanda yao walivyojenga, kwa hakika hutaacha kufuga

    Nayaona mabanda yangu katika hatua za awali.. sasa yameongezeka.. hakuna kitu kizuri kulisha nchi tena si bure unalipwa
  3. S

    #TBT. Nimeshindwa kuwatambua; labda kama wewe unaweza.

    Hii ilikuwa mwaka 1994, alikuwa waziri wa nishati na madini, na alikuwa anatumia gari mojo inaitwa musso.. Hii picha ilipigwa Tanga Tech School, yalikuwa maandalizi ya miaka 100 ya tanga school.. Mkuu wa mkoa wa Tanga alikuwa ni mkuchika na ninahisi ndio huyo hapo upande wa kulia.. Mimi...
  4. S

    Kuroiler Breeds

    Mkuu nilikuja arusha tena nilikujulisha wiki moja kabla.. kufika arusha hujapokea simu wala kujibu msg.. Sikutegemea hilo kutokea kwako.. NA LIMENITIA MASHAKA MAKUBWA..
  5. S

    Huyu Mwenzetu huwezi amini eti ana miaka 45+

    Mambo mengi sikubaliani nae ila kwa hili nakubaliana nae.. Ni kweli alichoandika
  6. S

    Mkopo wa benki za Tanzania ni biashara au hisani?

    Huo mkopo ulikuwa kwa muda gani.. Kumbuka asilimia 20 ni kwa mwaka ina maana ukilipa kwa miaka mitano ni karibia asilimia 100
  7. S

    TOYOTA HILUX 2.7 VVT-I Double Cab for only 9,000,000/=

    Atakayelinunua mimi nitalinunua kwake kwa 40m cash.. watu msiwe wavivu wa kufikiri.. hesabu za haraka hilo gari mpaka bongo inafika 50m.. wewe uuziwe kwa 9m.. tumia akili zako
  8. S

    Toyota RAV4J for sale in Dar-es-salaam

    RAV 4 11m.. Umeiiba.. umepewa bure au inatatizo kubwa
  9. S

    Matokeo ya Uchaguzi wa Udiwani Feb 09, 2014: CCM yaibuka kidedea!

    Kumbuka hii kata ilikuwa ya ccm
  10. S

    Kwanini Nyerere hakutaifisha seminari za Katoliki?

    KUTAIFISHA SEMINARI NI SAWA NA KUTAIFISHA MADRASA... WAKATOLIKI WANAANDAA VIONGOZI WAO TOKA NGAZI YA CHINI.. SEMINARI NI SHULE ZAO ZA KUANDAA MAPADRII.. Kama kuna kanisa lilitakiwa kulalamika ni kanisa katoliki kwa sababu ndio waliotaifishiwa taasisi zao nyingi kuliko dini na dhehebu lolote...
  11. S

    Dr.Kitila Mkumbo: Tunahitaji mbadala wa CCM na CHADEMA

    Mbona Dr mwenyewe ni mshabiki wa zito.. Kutufundisha kutokuwa washabiki wa viongozi hali wewe umeonyesha kwa uwazi mkubwa kuwa ni mshabiki wa kiongozi fulani tutaelewa kweli hilo somo.. Ubiri unachoishi
  12. S

    Baada ya Mandela kukutna na Nyerere.(PICHA MPYA)

    mazingira mtu aliyekulia.. mafundisho aliyopata haswa ya utotoni ndio yanamtengneza mtu.. Kuna watu wanaweza kuwa na akili nyingi sana na uwezo mkubwa sana wa kuchambua mambo.. Ila kuna sehemu chache sana zilizotokana na athari nilizozitaja zikampoteza ufahamu wake..
  13. S

    Mtei amuangukia Zitto Kabwe, adai ni mwanasiasa jasiri

    napata shida kwanini wana CCM wanamtetea sana Nzito.. na ni kwanini hawataki aadhibiwe kwa mujibu wa sheria kama kweli ametenda makosa.. kama kweli wanamuona jembe mbona hawamkaribishi kwao
  14. S

    Mambo ya kuzingatia unaponunua tairi za gari

    mbona maelezo ya chacha kisiri yapo wazi sana.. Na hamaanishi unayoyasema.. Nadhani ni kati ya walimu wazuri sana
  15. S

    Kauli za viongozi wakuu wa CHADEMA kuhusu 'Waraka wa siri' uliosambazwa kumhusu Zitto Kabwe

    UKISHAMFAHAMU MTU UNAMCHUKULIA KAMA ALIVYO.. NA HUO NDIO UUNGWANA NA NDIO LIMELIFANYA HILI TAIFA LIENDELEE KUWEPO.. otherwise wote tungekuwa kama wewe pasingekuwa na taifa
Back
Top Bottom