Recent content by sirgeorge

  1. S

    Prof. Anna Tibaijuka amkosoa Mh. David Kafulila

    Hapo naona Prof. Tibaijuka kateleza au hakuelewa alichokizungumza. Anaposema Kafulila hakuwa sahihi alipokuwa anazungumzia kuhusu "samples" kuwa alichokisema kafulila siyo "stratified sampling" wala "non-stratified sampling". Napata tabu kidogo juu ya alivyojichanganya Prof. Msingi wa hoja...
  2. S

    Kwanini benki hakuna vyoo/maliwato kwa ajili ya wateja?

    Ulishawahi kujiuliza ni kwa nini sisi wateja tunaziamini sana bank zote na kuweka hela (pengine hata mamilioni ya hela) zetu kwao ila wao hawatuamini hata chembe kiasi kwamba hata kalamu(pen) wanazifunga kamba. Hii imekaaje? Tukazitoe hela zetu wao hawatuamini hata kidogo!
  3. S

    CHADEMA yaibwaga CCM Arumeru Mashariki; CCM Yakubali kushindwa (Zaidi ya kura 6,000)

    Hivi BEN MKAA HAPA anajickiaje? Aibu iliyoje ,yeye ndio alionekana msafi katika magamba wote kwenda kufungua na kufunga Shampeni! sorry kampeni!
  4. S

    CHADEMA yaibwaga CCM Arumeru Mashariki; CCM Yakubali kushindwa (Zaidi ya kura 6,000)

    Weeeeeraaaaaaaaaaaaaaaa kudadadalusinde! Pipoooooozz poweeeeeeer, wweeeera!
  5. S

    Kazi au mume......ushauri

    Tatizo inawezekana ndoa bado ni changa na huwezi jua mdada ali struggle vipi mpaka akaifanikisha hilo la kufunga ndoa. Kingine, pamoja na kuwa jamaa anafanya kazi serikalini sio kigezo cha yeye tu kuamua kuacha kazi bila kuwa na sababu ya msingi, huwezi jua hiyo kazi hata kama ina mshahara mdogo...
  6. S

    Mkurugenzi wa NHC amkera Sabodo..

    Sidhani kama tunajaribu upaka rangi upepo. Ninachoelewa ni kuwa kabla ya mtu kufanya reaserch/study ana kuwa na lengo (Objective) yake. Na ili aweze kujibu/kupata majibu ya hiyo objective unaandaa tools(mfano, questionnaire). Tool hii inakuwa na proxy au variables ambazo researcher anaamini...
  7. S

    Mahakama ya Kadhi: Masheikh wakutana na JK

    St.Ivuga kama nimewaelewa wachangiaji wengine vyema ni kuwa, concern yao kubwa ni kuwa serikali inachangia katika taasisi ya kikristo ambazo zinahudumia jamii zote za wakristo na wasio wakristo. Huduma hizi ni kama mahospitali ambayo mtu yeyote anaweza kwenda kutibiwa na pengine bila kuulizwa...
  8. S

    Mahakama ya Kadhi: Masheikh wakutana na JK

    Naomba kuuliza, hivi mfano mwanaume wa kikristo ameoa binti wa kiislam na ikaja kutokea wamtofautiana au mirathi, ndoa hapo masuala ya hukumu yatakuwaje kwa mahakama ya Kadhi? Ukizangatia huyu mume ni mkristo, hapo najaribu kujiuliza. Mwenye uelewa wa hili naomba anifahamishe. Maana baadae...
  9. S

    Ndevu kwa Wanaume: Kuota (nyingi) au kutokuota, nini tatizo? Nini kifanyike?

    Sidhani kama hiyo dawa itafanya kazi hapo kwani hizo sio ndevu!
  10. S

    Kanipenda lakn simfahamu

    Fuata ushauri wa mwendabure.
  11. S

    Mitaa/vitongoji/vijiji vya Tabora

    Cheyo N’gambo (Hapo ndo warembo wengi huwa wanatokea mitaa hii, ila tatizo nyumba nyingi za eneo hili zimewekewa mawakili zisianguke) Itetemya (Wenyeji huita Itetemia) National Kiyungi Chem chem (Kama vile N'gambo) Mwinyi Kitete Kanyenye Uhazili Bachu Gongoni Isike Check line (wenyeji wa...
  12. S

    Wakina Dada wa Kisukuma Upenda Kutumia Msemo Huu"Ng'wishage Tamu"

    Inategemea na unachokusudia/ulichokusudia katika kutamka/kufikisha ujumbe wako. Mfano wa maneno ambayo yanaweza kutumiwa na yakawa na maana tofauti ni; NIGISHAGE TAMU- Nisalimie kwanza NG'WISHAGE TAMU- Ninyweshe kwanza NGWISHAGE TAMU- Niangushe kwanza Kazi ni kwako!
  13. S

    Drinking Rules Act of 1900

    ZIFUATAZO NI ADHABU ZITOLEWAZO KWA UVUNJAJI WA SHERIA ZA CHAMA CHA WANYWAJI POMBE: Kosa la kumtoroka mlevi mwenzako kwenye Bar – Jela miezi tisa. Kuacha kunywa pombe na fedha unazo – Kifungo cha maisha. Kuvunja chupa ya beer – Jela miaka miwili. Kumkaribisha mume au mke wa rafiki yako bila...
  14. S

    Kutoka bungeni: Jimbo la Mtera limekosa mbunge!

    Tumsamehe tu na tu assume suala la shule HADAIWI ikiwa anajua kusoma na kuandika!, nami nimepitia huko kwenye website ya bunge sijaona cha darasa la kwanza au zaidi ya hapo. Tumsamehe tu!
Back
Top Bottom