Drinking Rules Act of 1900 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Drinking Rules Act of 1900

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by sirgeorge, Aug 1, 2011.

 1. s

  sirgeorge Member

  #1
  Aug 1, 2011
  Joined: Aug 18, 2010
  Messages: 89
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ZIFUATAZO NI ADHABU ZITOLEWAZO KWA UVUNJAJI WA SHERIA ZA CHAMA CHA WANYWAJI POMBE:
  1. Kosa la kumtoroka mlevi mwenzako kwenye Bar – Jela miezi tisa.
  2. Kuacha kunywa pombe na fedha unazo – Kifungo cha maisha.
  3. Kuvunja chupa ya beer – Jela miaka miwili.
  4. Kumkaribisha mume au mke wa rafiki yako bila idhini yake – Viboko ishirini vya makalio na kufungiwa kunywa nusu siku.
  5. Kumchukulia dhamana mtu asiyepiga mma (pombe) – Adhabu yake ni kutolewa chamani.
  6. Kumwibia pombe mlevi mwenzako ni kosa kubwa – Jela mwaka mmoja.
  7. Kukataa kunywa wakati umekaribishwa – Jela miaka mitano.
  8. Kukwepa ulevi wa aina yoyote adhabu ni – Kunyang’anywa mume au mke, kama huna utaozwa mume au mke kwa nguvu.
  9. Kupita Bar au Grocery na kujifanya huoni hilo ni kosa kubwa faini yake ni – Kuwanunulia wanywaji wote waliokuwa kwenye Grocery au Bar kila mtu kinywaji anachokunywa na kukaa ukiwaangalia mpaka wamalize.
  10. Kumcheka mnywaji mwenzako akiwa amelewa ni kosa la jinai, unachotakiwa kufanya ni kumpongeza kwa kazi nzito aliyoifanya adhabu yake ni –Kutolewa kwenye Bar muda wa dakika moja
   
Loading...