Recent content by Sirdirashy

  1. Sirdirashy

    JamiiForums Tanzania Msaada watoto kung'ata meno wakiwa wamelala

    Mdudu
  2. Sirdirashy

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni mtindo upi mzuri wa kutoa matunda mtini?

    Mskmali kafia kwenye fiat
  3. Sirdirashy

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naomba kufahamu sifa na tabia za wanawake wa KIIRAQ /MBULU na WARANGI

    Mbona wanasagiwa kunguni sana mkuu ww oa tuu tabia ni hulka ya mtu km ni wife material weka ndani
  4. Sirdirashy

    JamiiForums Tanzania Ninawachukia sana bodaboda na makonda wa daladala

    Mafala kweli kuna siku nimeshuka Sokoni wanaambizana ola unamuona mshua nafika wanaanza kunisalimia Mshua Habari za mchana
  5. Sirdirashy

    JamiiForums Tanzania Vibali vipi vinahitajika ili kufungua biashara?

    Ukiwa na Nida unaweza kufanya mwenyewe kwenye mfumo wao taxpayerportal.tra.go.tz than ingia sehemu ya log up au sin up. Clearence lazima uende ofisini
  6. Sirdirashy

    JamiiForums Tanzania Vibali vipi vinahitajika ili kufungua biashara?

    Unataka kufungua biashara wapi. Mbona just simple Nenda TRA Upate Tin ya biashara than wakupe clearence than uende Manispaa au jaza mwenyewe kwenye mfumo wao Tausi. Than the rest is history
  7. Sirdirashy

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kuagiza Mazda CX-5, kwa wazoefu naombeni ushauri kwa mambo naenda kuyaelezea

    Nunua ila nenda na 2015 au 2016 zimeshakuwa solved na mambo mengi kwa generation zilizopita hazina changamoto yoyote spare zipo.
  8. Sirdirashy

    JamiiForums Tanzania Faida na changamoto za magari yanayotumia cng ( compression natural gas) part 1

    Washauri tuu wanunue Hybrid yaani umeme hata Bajaji zipo za umeme mkuu gesi zinaaribu performance ya chombo unakuwa kama unaendesha mkokoteni
  9. Sirdirashy

    JamiiForums Tanzania Changamoto mbalimbali za kiufundi zinzoikumba Toyota Crown

    Labda ununue mbovu nimetumia miaka miwili nakaisukuma zaidi ya service hakuna nilichofanya.
  10. Sirdirashy

    JamiiForums Tanzania Baada ya Master J kumkejeli Ali Kiba kuwa ni mbana pua, Ali Kiba ajibu mapigo

    Safi sana King Kiba kama mbwai iwe mbwai tuu toka lini kiba na wabana pua.
  11. Sirdirashy

    JamiiForums Tanzania Baada ya Wife kuniweka Lockup naona kama natengenezewa mazingira ya ku react nichukue hatua kali

    Mkuu hiyo kesi ishamaliza wewe nenda nae hivyohivyo wacha mamlaka iamue yalimkuta rafiki yangu haya Miaka zaidi ya 3 ni vituko tu mwisho mwanamke akaenda ngazi hizohizo. Mwisho wakaachana na kugawana mali. So kwenye wito wowote ww nenda na lolote litakalo amuliwa na mamlaka kama kugawana mali...
  12. Sirdirashy

    JamiiForums Tanzania Muimbaji wa injili Goodluck achoma moto gari alilopewa zawadi na mchungaji

    Anngeenda kuligawa hata kwenye taasisi za kusaidia jamii lingetumika katika harakati hizo angekuwa amefanya jambo la maana
  13. Sirdirashy

    JamiiForums Tanzania Unywaji wa mafuta gari ndogo

    Nunua hybrid prius, auris, mitsubish mirage au mazda verisa uje kutoa mrejesho. Hizo ulisema naunga mkono hamna lolote 11 imeenda 12 km per litter
Back
Top Bottom