NAWAANDIKIA kuwahimiza vijana wa CCM kuipigania CCM na serkali yake popote mtakapokuwa, iteteeni CCM, mtetee Rais wetu Samia Suluhu Hassan, semeni mema yanayofanyika na awamu ya sita kwa nguvu zote.
Msiposema nyinyi watasema maadui zetu, ambao kamwe hawatasifia isipokuwa kuwaaminisha watu...