Recent content by sir joshua

  1. sir joshua

    Koboko (Black Mamba) - Nyoka hatari zaidi duniani

    Weee jamaaa nomaaa sana
  2. sir joshua

    Nimeambiwa nitafariki baada ya miezi 4 kutokana na kansa ya kongosho (pancreatic cancer stage 4)

    Ndugu Folk kama una taka maisha yarudi na magonjwa yaishe uwe huru naomba nitafute kwa namba hizi 0753570709 sihitaji hata mia yako ndugu yangu nia yangu upone ufurahie tena makusudi ya Mungu juu yako,thanks kama uta ridhia ndugu...
  3. sir joshua

    Marley Dollars $$ kijana anayetingisha Bongo kwa Mandinga makali

    Huyu ni mtanzania kapigia mawe yake msumbiji pesa ya ruby,ni mshkaji poa sana kapiga pesa ndefu sana dolar laki laki hizi kama mchezo tuuu
  4. sir joshua

    Ukweli kuhusu kustaafu Askofu Pengo, Ashauriwa akaishi Mtoni Kijichi katika uzee wake

    Tukisema wakatoliki wana abudu mizimu wafu wana chukia....
  5. sir joshua

    Naomba kufahamishwa kuhusu toyota brevis 2500cc

    Dada kwa ist ukisema ni ndogo uta ua engine au haliwezi kwenda mbali nakukatalia,binafsi I.s.t nime wahi toka nayo msumbiji mtopweshi hadi arusha na ilikua kipindi cha mvua za masika kama sasa hivi nili tembea siku siku mbili lakini nikipumzika nnjiani hadi dar nikapoaa siku mbili tena natembea...
  6. sir joshua

    Kifo cha Mwalimu Nyerere 14/10/1999, ulikuwa wapi?

    Nimegundua jamii forum ya leo ina under thirty wengi sana wahenga humu tuko wachache sana
  7. sir joshua

    Hivi huyu dada Joyce Kiria ana shida gani?

    Ume andika vizuri mkuu kama ata soma hapa nadhani itamsaidia kama ana shaurika,hongera sana kwa andiko lako
  8. sir joshua

    Hivi huyu dada Joyce Kiria ana shida gani?

    Hahhahaa mkuu we nouma sana nimecheka sana daa,ila kweli huyu dada ana shida ya kimaadilii hasa kwenye eneo la mke na mume,hujafundishwa hekima ya kuishi kwenye agano hasa zinapo tokea changomoto kama hii ya sasa aliyo nayo
  9. sir joshua

    Mzee baba, pakacha limeanza kuvuja ujue...

    Hehehehehe we Mshana wewe,shauriyako une kivona
  10. sir joshua

    Nairobi, Kenya: Tundu Lissu aituhumu Serikali ya Tanzania kwa jaribio la kutaka kumuua na Bunge kutomhudumia Matibabu

    Weee jamaaa ume ni maliza mbavu zangu aseeee daaa,kula like mkuu
  11. sir joshua

    Samaki mwenye jinsia ya kike avuliwa bahari ya hindi

    Mshana kkwa mafix hakukubali mkuu,hili dubwana jana Nikiwa na peruzi kwenye website flani za nje Niliona sikuifwatilia picha duka
  12. sir joshua

    Waliomshambulia Tundu Lissu kusomewa albadili kesho!

    Wabongo kwa kupenda ushirikina hawajambo ngoja ninyamaze
  13. sir joshua

    Kwa usalama wako usinywe KITOKO

    [emoji23] [emoji23] [emoji85] [emoji85] Wee jamaa una akili mbaya nimecheka kweli Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom