Samaki mwenye jinsia ya kike avuliwa bahari ya hindi

Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
149,910
2,000
Habari za hivi punde: Samaki mwenye jinsia ya kike kavuliwa bahari ya hindi.
Ukisikia baharini kuna vingi ndio hivi;
IMG_20171213_154819_976.jpg

IMG_20171213_154842_014.jpg
 

sir joshua

JF-Expert Member
May 21, 2013
479
225
Mshana kkwa mafix hakukubali mkuu,hili dubwana jana Nikiwa na peruzi kwenye website flani za nje Niliona sikuifwatilia picha duka
 

joyce shija

JF-Expert Member
Jul 20, 2017
473
250
Habari za hivi punde: Samaki mwenye jinsia ya kike kavuliwa bahari ya hindi.
Ukisikia baharini kuna vingi ndio hivi;
View attachment 650128
View attachment 650129
sasa we mushana mbona huishi visa weye?yaani weye kila kukicha ni manyaunyau tu muchawi mukubwa alakini mie hunibabaishi kama unabaisha jaribisha kwangu uone kilichomtoa kanga manyoya kengele weye.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom