Mkuu Mshana jn niko na Toyota premio d4. Nimetumia Gari hii kwa muda mrefu bila tatizo lakini sasa ghafla imeanza kupoteza nguvu kwenye mlima inajikongoja na kuchanganya inachelewa na nikikimbia Gari inastukastuka hata speed 90 haifiki inamis na sometime inazima ukiiwasha haitaki ila ikikaa muda...
Wadau kuna tatizo limenitokea barabarani nikiwa na Gari mpaka sasa sielewi tatizo nini!. Nilikuwa na overtake Gari nilikuwa speed 90 km/h baada tu ya kumaliza overtake Gari ikawa haitaki kwenda inapiga kelele tu kama kwamba haiko kwenye gia ilinibidi nitoke barabara kuu na kuingia service road...
Mahakama ya khadhi haiendeshwi na kodi za wananchi na si kweli kwamba itahusisha wasiokuwa Waislam hoja ya msingi waislam wanahitaji ridhaa ya Serikali tu gharama za uendeshaji wala hawazihitaji kwa hiyo wako sahihi tu kama alivyofafanua huyo mtangazaji ingawa unampinga.
Adhabu za fair ndizo zinazopelekea mpaka leo albino anauawa na muuaji anadunda street!..hukumu ya muuaji ni kuuawa tu na mwizi akatwe mkono..mzinifu ikiwa ameoa/kuolewa atapigwa mawe mpaka kufa na ikiwa hajaoa/kuolewa ni viboko 100. Hizo ni adhabu kali na chungu vp wewe ungejaribu kufanya...
Usome kwanza uislam na mafundisho yake na hukumu zake kisha uongee!! Usikurupuke kaka kwa makosa ya baadhi ya waislam. Raiti hukumu za kiislam zingefuatwa pasingekuwapo na uharibifu ktk dunia hii.
Hapana kaka pamoja na hayo kuna mipaka ya binaadam kuhukumu ikiwa umemwamini Muumba wako. Mfano Adhabu ya moto hapaswi binadam yyt kuitumia ispokuwa ni Muumba peke yake Unatakiwa kushinda Hasira zako kwa kulinda heshima ya dini yako.
Ni Mungu peke yake ndiye mwenye mamlaka ya kutoa hukumu ya Moto na ni hatia kubwa sana kwa binadam kuhukumia moto..!!! Mbaya zaidi wanachanganya dini na siasa ni watu wasiokubalika kabisa ktk jamii.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.