Recent content by sir Ganto G

  1. sir Ganto G

    JamiiForums Korosho zinauzwa

    Bado unazo?nahitaji korosho nyeupe
  2. sir Ganto G

    JamiiForums Uhamisho wa kazi kwenda wizara nyingine

    Hapana kiongozi sio huko,ni upande mwingine kabisa
  3. sir Ganto G

    JamiiForums Uhamisho wa kazi kwenda wizara nyingine

    Asante.
  4. sir Ganto G

    JamiiForums Uhamisho wa kazi kwenda wizara nyingine

    Nimekupata kaka
  5. sir Ganto G

    JamiiForums Uhamisho wa kazi kwenda wizara nyingine

    Thanks.
  6. sir Ganto G

    JamiiForums Uhamisho wa kazi kwenda wizara nyingine

    Mbona swali liko wazi sana,,labda nirudie....Je mtumishi wa serikali anaweza hama kutoka wizara moja kwenda nyingine?
  7. sir Ganto G

    JamiiForums Uhamisho wa kazi kwenda wizara nyingine

    Habari wadau. Naomba kujua kama kuna uwezekano wa muajiriwa wa serikali kuhama wizara kwenda wizara nyingine. Je, mwajiriwa anaweza akaomba kwenda wizara nyingine kama ana vigezo vinavyokidhi kuhamia wizara husika?. Tafadhali naomba kufahamishwa kwa yeyote mwenye taarifa na hili. Natanguliza...
  8. sir Ganto G

    JamiiForums Ubobezi katika sheria wa Tulia Ackson ni upi?

    ..mleta uzi umechambua vizuri na emetiririka kimantiki.tatizo hapa kuna ushabiki ambao hauna maana na kuna watu wanahisi wao tu ndio wanaijua sana UD..ni upuuzi na kujilisha upepo.ukweli ni ukweli
  9. sir Ganto G

    JamiiForums Ukimya wa Lady Jaydee

    naimani atarudi
  10. sir Ganto G

    JamiiForums Jew warms blacks

    .ni ukweli mchungu!!
  11. sir Ganto G

    JamiiForums Kama si Mbowe, basi mtoto wa Mbowe, kama si Kafulila, basi mjukuu wa Kafulila n.k

    ..fadhila za nini kwenye nchi changa namna hii!!
  12. sir Ganto G

    JamiiForums Zitto anapotosha umma kuhusu uhaini Zanzibar

    ..naona hii imekaa kisheria zaidi,na kama kweli alikuwa na mtazamo huo basi alipotoka kimktadha wa kisheria..
  13. sir Ganto G

    JamiiForums Ndoto ya Zitto Kabwe mashakani kutimia

    ..sithani kama zitto hana akili kiasi hicho,alijua na anajua kuwa hatakuwa waziri mkuu,.ila mpaka uchaguzi ufanyike umaarufu wa chama chake utaongezeka maradufu,na hili ndo lilikuwa LENGO lake kubwa...na atafanikiwa
  14. sir Ganto G

    JamiiForums Njia ni Nyembamba na Mlango ni Mwembamba, Waingiao ni wachache (Spirit Science)

    ..kama kuna mshindi anatafutwa hivi..tawi hili la knowledge haliitaji ushindani ili kufurahisha watu au kujikweza.
Back
Top Bottom