Recent content by Sir. Adam

  1. S

    Jamani bodi ya mikopo hivi hela yetu ya field lini?

    Kiukweli hali ni tete sana huku fild!! Maana kuna wanafunzi ambao wameenda kufanyia fild ktk mikoa ambayo sio kwao wala kuwa nandugu. Naisihi serikali ilichukulie tatizo hili serious maana kuna mwalimu mmoja jana ktk kituo fulani alianguka darasani kwa kukosa chakula siku mbili
  2. S

    chuo kikuu Teofilo kisanji walia na serikari juu ya pesa zao za kujikimu

    wanafunzi ktk chuo cha teku mkoani mbeya wameshangazwa na kitendo cha serikar kukaa kimya mpaka sasa hv juu ya mstakari wa pesa zao za kujikimu
  3. S

    RUCO waambiwa wawe wavumilivu bodi ya mikopo haina fedha

    Acha uongo wako hapa!! Hizo ni taarifa ambazo hazina ukweli wwote
  4. S

    RUCO waambiwa wawe wavumilivu bodi ya mikopo haina fedha

    Hata hapa Teofilo kisanji university hali ni tete maana hata wanafunzi wanalia njaa, serikali imekaa kimya
  5. S

    Tuweke ushabiki pembeni, CCM ina mgombea gani anayekubalika zaidi ya Lowassa?

    1.John Pombe Magufuli 2.Harrison Mwakyembe 3.Samwel Sitta 4.DR Salim Ahmed Salim 5.Mwigulu Nchemba
  6. S

    Video; ushahidi namna ccm wanavyopanga kujeruhi, kutesa, kuteka na kuua-uchaguzi kalenga

    nanyie sometime mbadilike coz cjaona kitu ktk hiyo vidio ambacho mmezungumzia ktk hicho kichwa cha habar!!! Non sense kabisa
  7. S

    Hivi mheshimiwa membe ni shabiki wa yanga

    Kwani Mh Membe kuwa shabiki wa yanga ni dhambi!!? Acha siasa zenu za uchwara coz hamna connection kati ya mambo ya mpira na siasa !!! Try to thnk critically broo
  8. S

    Sitta: Nitagombea Uenyekiti wa Bunge Maalumu la Katiba kwa sababu naamini kuwa nina sifa za kutosha

    Mimi kwa mtazamo wangu naona Samwel J Sitta anafaa kwa sababu Ya uzoefu wake ktk masuala ya kibunge!!!
  9. S

    CHADEMA yamteua Mh Lema kuongoza kampeni Kalenga, huku CCM ikimteua Lusinde

    You should be objective and avoid subjectivism!!! Unaposema Lusinde alikuwa anaporomosha matus wat about lema??? Plz wa jf tujalibu kuwa tunaepuka ushabiki
  10. S

    Diva, B12, na Mchomvu wapigwa chini Clouds

    in any institution the discpline should be observed!
  11. S

    TRA's Kitilya to retire from public service, Blandina Nyoni or Dr. Dau to take over...

    me kwa mtazamo wangu naona dhahiri Dr Charles kimei yule wa CRDB hiyo nafasi inamfaa coz ameleta mabadiriko makubwa ktk benki ya CRDB.
  12. S

    Mlipuko tena Arusha, jeshi la Polisi watuhumiwa

    Jamani watanzania wenzangu tujaribu kuukwepa uchochezi wa namna hii maana unaweza kupeleka taifa letu pabaya.sihamini na sitaki kuhamini kma polisi wetu wazalendo wanaweza kufanya kitu nönsense kma hicho!! Ni vizuri tukasubiri taarifa rasmi ambayo itatupa picha kamili ya tukio na mwisho sisi...
  13. S

    Mwili wa DR. MGIMWA kuwasili JUMAMOSI

    Ni masikitiko makubwa ktk nchi yetu kwa kumpoteza kiongozi shupavu ,ambaye alikuwa ameanza kuonyesha muelekeo mzuri wa uchumi ktk nchi yetu lakn mungu alitoa na mungu ametwa jina lake lihimidiwe,amen
Back
Top Bottom