Recent content by SIPENDI

  1. S

    Kumbe Lipumba alishinikizwa na Mbowe na Mbatia kujitoa kwenye Kamati ya Uongozi

    Huyo mtonyaji wako naona haukumpa mtonyo wako ( hasa wa nyuma) ili akupe mtonyo kamili. Nasema hivi kwa sababu Mh Mnyika aliongea kabla ya Mh Lipumba kusimama na kuomba kujitoa. Na kama ulimpa basi haukumpa vizuri mi napendekeza urudi kwake ukamgawie tena hako-kamtonyo ili naye aweze kukutonya...
  2. S

    Joshua Nassari adanganya "live" ITV

    Tanzania Population Projection (Official Statistics from National Bureau of Statistics) TLE = 56 years (2012) Male LE = 54 years (2012) Female LE = 57 years (2012) Hizi ni kwa mujibu wa projections zilizotolewa na ofisi ya taifa ya Takwimu. Sasa kama ni kuangalia usahihi ni nani sahihi...
  3. S

    Joshua Nassari adanganya "live" ITV

    Table 10 (ctd): Summary of Demographic Indicators - Tanzania Total Indicators 2012 2013 2014 2015 2016 Fertility TFR 4.9 4.7 4.6 4.5 4.4 GRR 2.4 2.3 2.3 2.2 2.2 NRR 2 2 1.9 1.9 1.8 Mean Age of Childbearing 28.8 28.8 28.8 28.8 28.8 Child-woman ratio 0.7 0.7 0.7...
  4. S

    Chonde chonde wabunge wangu wa CHADEMA

    Hawa watu wa Chama Tawala sidhani kama huwa wanawaza. Hivi kujua matatizo ya wananchi watanzania unahitaji kufanya utafiti?
  5. S

    CHADEMA ilipotosha umma taarifa ya Membe?

    hapa ni ushabiki zaidi ya hoja ya msingi...Kama mpokea habari ...Je Gazeti la Serikali linataka kufikisha ujumbe gani? Maana wanasema Chadema wamepotosha....swali wamepotosha nini na sahihisho lake ni lipi? Wanajamvi kumbukeni kuwa wakati wanatoa tamko huhusiana na kauli ya Mh. Membe walichambua...
  6. S

    Je, Viongozi wa Idara ambao ni Wachagga waachie ngazi!??

    Mi naona warudi kwao wakaanzishe Taifa lao litakaloitwa labda kilimanjaro au vingenevyo as simple as that
  7. S

    GE2010 Ahadi ya Kujenga "Machinga Complex" ni Sababu Tosha ya Kumfukuta Kazi JK

    Hii ahadi ni tusi kwa vijana wetu ambao kwa kuwepo kwao kwenye biashara hiyo si kwa kupenda bali ni mfumo m-baya wa utawala wa serikali ya CCM. Hivi RIZone naye ni moja ya walengwa wa hizo complekz? na Je hii sekta ya umachinga ni ya kuduma Tanzania. kama jibu ndiyo naomba nipata kujuza namna ya...
  8. S

    GE2010 Ng'ihili hakumkosea kikwete bali na wazazi wake pia

    Msingi wa kesi hii ni kufafanua maana ya neno ADABU halafu tumlinganishe na aliyetajwa kwamba hana adabu...baada ya hapo jaribu kuangalia chanzo cha adabu ya mtu kinaanzia wapi .... labda familia...sina hakika... Tukumbuke hata Mchungaji Mtikila alimwambia Rais wa nchi kuwa alikuwa MPUUZI...
  9. S

    GE2010 Ni nani aliyeingiza udini kwenye kampeni hizi?

    Hivi ile hotuba ya MWL JKN ya kukemea mambo ya udini na ukabila imefichwa wapi siku hizi. Kwa mujibu wa nyenyere si ajabu kesho Mtazania likaandika: Serikali ya JK si ya Kibabila kwa vile kuna wachaga wengi kwenye taasisi za umma... na kama muda ungetosha kesho kutwa: Serikali ya JK si ya...
  10. S

    GE2010 Kikwete Live on Power Breakfast (Clouds FM)

    cha kusikitisha mambo mengi aliyo ahidi yako nje ya Ilani yao. Hata ukimuliza kwa mfano kwani nini hatuna kiwanda cha ndege dar lazima atakuwa na jibu. Hilo amekiri baada ya kuulizwa ahadi zake zikoje: Akajibu kwamba kuna ahadi zilizopo kwenye ilani na ahadi za papo kwa papo kulingana na...
  11. S

    GE2010 Kikwete Live on Power Breakfast (Clouds FM)

    Amerudia tena ile kauli yake kwamba msongamano dar ni kwa sababu watu wengi maisha yameboreka na kuwa na magari
  12. S

    GE2010 Dr. Slaa kujibu maswali "Live" ITV saa moja Usiku Jumamosi Hii

    Vipi huyu...amejiunga jana tu kwa ajili ya kumtetea aliyekimbia mdahalo? Pole...pole sana!
  13. S

    Serikali yatishia kulifungia gazeti la Mwananchi

    Tafadhali fuatilia habari hii; Mwandishi Wetu SERIKALI imetishia kulifunga au kulifutia usajili gazeti la Mwananchi kwa madai kwamba linaandika habari za uchochezi dhidi ya serikali ya awamu ya nne.Barua ya serikali yenye kumbukumbu namba ISC/N.100/1/VOL.V/76 iliyoandikwa kwa mhariri mtendaji...
  14. S

    GE2010 Jengo la Machinga ni hatari kwa binadamu: Wakaguzi

    Wakuu, hivi kweli JK ana mpango wa maendeleo kwa nchi hii? Kama jibu ni ndiyo basi atakuwa amekosea sana kufikiria kuendelea na biashara za wamachinga kama shughuli ya msingi katika kuinua uchuni wa nchi yetu. Kwa mtazamo wangu machinga ni biashara lakini si biashara itakayoitoa Tz hapa ilipo...
  15. S

    GE2010 Wengi wa wanafunzi wa vyuo vikuu kutopiga kura 2010

    Ni kweli mkuu nasikia shughuli nyingi za serikali zimesimama kwa sababu hakuna hela...
Back
Top Bottom