Ahadi ya Kujenga "Machinga Complex" ni Sababu Tosha ya Kumfukuta Kazi JK | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ahadi ya Kujenga "Machinga Complex" ni Sababu Tosha ya Kumfukuta Kazi JK

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by SIPENDI, Oct 29, 2010.

 1. S

  SIPENDI Member

  #1
  Oct 29, 2010
  Joined: Apr 30, 2008
  Messages: 45
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Hii ahadi ni tusi kwa vijana wetu ambao kwa kuwepo kwao kwenye biashara hiyo si kwa kupenda bali ni mfumo m-baya wa utawala wa serikali ya CCM. Hivi RIZone naye ni moja ya walengwa wa hizo complekz? na Je hii sekta ya umachinga ni ya kuduma Tanzania. kama jibu ndiyo naomba nipata kujuza namna ya kuukana uraia wangu. Lakini kumbuka kila siku wanasema eti vijana taifa la kesho yaani taifa la wamachinga kimsingi..... nawasilisha.
   
 2. Edson

  Edson JF-Expert Member

  #2
  Oct 29, 2010
  Joined: Mar 7, 2009
  Messages: 9,202
  Likes Received: 722
  Trophy Points: 280
  kweli hupendi
   
Loading...