Natumai hii habari ya kufukiwa binadamu wenzetu hawa wakisaka riziki iliwaumiza wengi kama ilivyofanya kwangu pindi habari zile zilipotangazwa. Nilijiuliza mambo mengi sikupata majibu hasa jitihada za kuwaokoa zilizofanywa pamoja na wao kuwasiliana nao kwa simu. Nilijiweka kwenye nafasi yao huko...
Hebu pitia huu uzi kwanza (Kumbuka kujumlisha miaka 5 mpaka 10 mbele, wenzetu wametutangulia kwa zaidi ya miaka hiyo)
https://www.yahoo.com/health/the-right-age-to-get-married-126672874767.html
Kumbuka pia watu wanatofautiana sana...kuanzia namna wanavyofikiri mpaka utendaji wao.
Nilikuwa nataka nipite tu kama kawaida ila hapana, hapa lazima nitie neno.
Huyo unayefanya naye huo upuuzi kwa sasa umemkuta bikira? Kama ndio basi nitatafuta la kukujibu. Kama sio..je, unajua ametembea na wangapi au anatembea na wangapi mpaka sasa? (Hoja yangu hapa ni uwachukulie hao...
Mmh mimi hawa hawanivutii kabisa...huwa nikiwatazama napatwa na hali fulani hivi kama kutapika..sorry..!
Nina kaugonjwa na hawa wanaovaa kama picha niliyoiweka hapa...(..sijui ni ugonjwa..??). Hawa wenzetu bana nawasifu sana, na wa namna hii asilimia kubwa wana tabia na maadili mazuri sana...
Mmh mimi hawa hawanivutii kabisa...huwa nikiwatazama napatwa na hali fulani hivi kama kutapika..sorry..!
Nina kaugonjwa na hawa wanaovaa kama picha niliyoiweka hapa...(..sijui ni ugonjwa..??). Hawa wenzetu bana nawasifu sana, na wa namna hii asilimia kubwa wana tabia na maadili mazuri sana...
MSHAURI MAMBO HAYA NA IKIWEZEKANA SAIDIANA NAYE KUFANYA HAYA:-
1. Ajiridhishe kuwa mke wake anafanya au aliwahi kufanya huo mchezo.
Kama alikuwa anafanya kabla au wakati rafikiyo yuko masomoni basi mwaweza fuatilia au kufanya uchunguzi kujua hilo. Mfano mwaweza anza kufuatilia nyendo zake kwa...
That is very very true! Sio urembo tu...yako mambo mengine pia! Nilikuwa na wangu kuoa ilikuwa shida sana sababu ya tamaduni ya kwake. Wazuri kwenye maeneo yote matatu!
I TOLD YOU!! Unakumbuka hii topic??: https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/509447-kwanini-si-muumini-wa-serikali-tatu-post7171659.html#post7171659
Tehe tehe...Ukijumlisha na hali ya sasa + vitambi + uzee kitendea kazi kinageuka kibamia! Ndio maana katafuta dogodogo kupata friction!
Pesa ndo kila kitu simlaumu huyo mtoto...shida, matatizo - zaidi yanayotokana na Uyatima ndio zimempeleka huko! Mzigo wa matatizo unakuwa mzito sana kwa...
Unamanisha KUMPENDA au KUMTAKA? Kama pesa zimesababisha ukampenda..i mean..kumpenda! Basi hakuna mbaya...ingia ukazitumbue ila pia tafuta namna mushirikiane kuzitengeneza zaidi!!
Pesa ndo kila kitu bana, nami nalundika zikifika dola milioni tano nianze kumsaka Lara 1 kwa udi na uvumba!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.