Recent content by Sioni tatizo

  1. S

    JamiiForums Tanzania 👉NUNUA HISA/ FURSA YA KUWEKEZAKAMPUNI YA DAGHT DIGITAL MARKET💰

    Sahihi Mimi sio muwekezaji, I have a startup like you na hii stage naifahamu, usielezee tech stack yako , elezea kwa ufupi namna biashara yako itakavyofanya kazi maana kinacho matter ni execution na sio idea
  2. S

    JamiiForums Tanzania 👉NUNUA HISA/ FURSA YA KUWEKEZAKAMPUNI YA DAGHT DIGITAL MARKET💰

    Haujaelezea product inafanya kazi ipi na ndio kitu muhimu kwa mtu kufanya maamuzi
  3. S

    JamiiForums Tanzania Mungu wa miujiza mbona sijawahi kumwona? Au kuona miujiza yake?

    Unaweza kuelezea concept ya Time? au kwako time ni order of events?
  4. S

    JamiiForums Tanzania Utajiri wa kutisha uliopo kwenye biashara ya jezi

    Jezi million 10 , ni sawa na katika Kila watu 6 kue na jezi moja
  5. S

    JamiiForums Tanzania Mzize, ongeza bidii kujifunza

    Mzize 27 yrs😂 vs yamal wa academy
  6. S

    JamiiForums Tanzania Jezi za Young Africans kwaajili ya msimu ujao wa 2025-26.

    Nikutudharau sisi wanunuzi
  7. S

    JamiiForums Tanzania JamiiForums Usiku wa manane

    00:49
  8. S

    JamiiForums Tanzania Simba Wamekula Hasara, Oh Zimbwe Jr Mzee hatumtaki, Yanga wakachungulia Wakaiona Fursa Wakamchukua

    Moja kati ya ndoto za yanga ni kua na sim Ndoto Z Ndoto za yanga ni kua na kikosi cha Simba 2020/2021 sababu ndio kikosi Bora Tanzania kwa muda wotee. Mchukueni Bwalya na Mikson
  9. S

    JamiiForums Tanzania SEX ni Spiritual Energy Exchange. Tendo la kubadilishana nguvu za kiroho

    Si kweli Napinga hizi ni nadhalia na zisizoweza kuthibitishwa
  10. S

    JamiiForums Tanzania Mkoa ulipo sasa hivi?

    Mwaza , Hapana.
  11. S

    JamiiForums Tanzania Wanachofanya NASA ni jambo la kijinga sana na linatakiwa kupingwa kwa nguvu zote

    Kwa sababu ya vigezo na sio uwezo , uelewa wako juu ya mambo ni mdogo mnoo
  12. S

    JamiiForums Tanzania Wanachofanya NASA ni jambo la kijinga sana na linatakiwa kupingwa kwa nguvu zote

    Namna unavyojibu haufai kua raisi wa nchi
  13. S

    JamiiForums Tanzania Wanachofanya NASA ni jambo la kijinga sana na linatakiwa kupingwa kwa nguvu zote

    SpaceX na NASA wamefanya jitihada kubwa kutatua changamoto za safari ya Mars. Hizi hapa ni baadhi ya jitihada mahsusi: 1. Changamoto ya Muda wa Kusafiri hadi Mars SpaceX: Inatengeneza Starship, roketi inayolenga kusafiri hadi Mars kwa muda mfupi zaidi (chini ya miezi 6). NASA: Inaendeleza...
Back
Top Bottom