Recent content by sinza pazuri

 1. sinza pazuri

  Je, ni biashara gani naweza fanya ikanipatia walau ada

  Mimi nakushauri achana na kusoma IT kama ada ni mgogoro jifunze skills unazoweza ingiza pesa haraka uku unapambania mambo mengine. Soma Graphic design, copywriting, videography & photography unaweza soma mwenyewe hata online. Ukiwa na hizi skills ni wewe tu sasa uamue ulale njaa au uingize pesa.
 2. sinza pazuri

  Paula wa Kajala apost picha Snapchat akiwa amemkumbatia Rayvanny Mtu mbaya

  Mnaongea utafikiri mademu wa umri wake uko mtaani hawagongwi wanasubiria kuolewa. Maisha hayanaga formula msimalize maneno.
 3. sinza pazuri

  Majani umeteleza kumshambulia binti yako kwenye radio, wewe ni sehemu ya tatizo

  Hana ubavu huo. Alichofanikiwa ni kuonyesha dudu lake.
 4. sinza pazuri

  Kajala, Paula wahojiwa polisi wakidaiwa kusambaza picha za Harmonize

  Harmonize ni binadamu mbaya sana kuwai kutokea kwenye tasnia ya burudani nchini Tanzania. Na ubaya wake ndio kaburi lake ni suala la wakati tu.
 5. sinza pazuri

  Majani umeteleza kumshambulia binti yako kwenye radio, wewe ni sehemu ya tatizo

  mwenzio akulongile muulike buyee
 6. sinza pazuri

  Majani umeteleza kumshambulia binti yako kwenye radio, wewe ni sehemu ya tatizo

  Majani alikuwa anaenda na vibe la mtandao kasahau Paula ni mwanae no matter what. Mitandao kazi yao ni kushabikia habari.
 7. sinza pazuri

  Majani umeteleza kumshambulia binti yako kwenye radio, wewe ni sehemu ya tatizo

  Wakati wa kumlea mtoto alikuwa busy na mji akasahau mpaka ada zinalipwa na nani, majani alikuwa majani. Leo anajifanya yupo strict kwenye malezi.
 8. sinza pazuri

  Majani umeteleza kumshambulia binti yako kwenye radio, wewe ni sehemu ya tatizo

  Busara kwenye radio? kwa faida ya nani anamsema hivyo binti yake? Okay kasema binti yake kalaanika, amepata nini cha maana baada ya kusema hayo. Binti kimyaaa matokeo yake baba ataonekana mibange.
 9. sinza pazuri

  Majani umeteleza kumshambulia binti yako kwenye radio, wewe ni sehemu ya tatizo

  Majani anasema mtoto wake alimkataa, ila hasemi ilikuwaje wakafika hali hiyo. Majani anasema kwenye radio kuwa mtoto wake kazaliwa na mama asiyestahili. Majani anaitangazia dunia kwamba binti yake amelaanika. Kwa mtu mwenye hekma na utulivu wa akili utagundua Baba pia ana tatizo kubwa kuliko...
 10. sinza pazuri

  Fahima wa Rayvanny ateswa na wivu wa mapenzi

  Fahima anateswa na wivu wa mapenzi baada ya Rayvanny kuweka kambi kwa mtoto Paula. Anamuita Paula anaejiona amepata 😂😂😂 Nakushauri move on Fey hakunaga laana ya Ex...Hicho anachofanya Ray ndio uanaume sisi wanaume hata uwe mzuri vipi ukikosa heshima na unyenyekevu tunakuacha tunatafuta mali...
 11. sinza pazuri

  Wakati watu wanamkejeli Baba Levo, yeye aendelea kulamba madili ya ubalozi

  Wakati watu wanaendelea kumpiga vijembe Baba Levo na kumuita majina ya ovyo. Yeye anageuza kejeli na matusi kuwa pesa. Amesaini dili mpya tena leo, wale wajuzi wa kila kitu mnaojua kufanya uchambuzi mje mtuambie kwa nini kelele za Baba Levo zinaleta pesa, ila wale waliotulia na kufanya muziki...
 12. sinza pazuri

  Why Rayvanny anajisifu kuuza sana online wakati mapato hayo mengi yanaenda kwa Platnumz?

  Yani mjanja akisoma haitaji kujua wewe ni bonge la mshamba yani.
Top Bottom