Recent content by Sinyor

  1. S

    JamiiForums Tanzania Press conference ya ACT-Tanzania

    Haha Eti aombwe radhi mzee Wa PM7 akafie mbele
  2. S

    JamiiForums Tanzania Psychic Powers: Ni nguvu za kufanya miujiza. Wengi wanazo bila kujitambua. Je, wewe unazo?

    Ndugu umepotea tena vibaya kunatofauti kubwa tena kubwa sana Kati ya muujiza Wa Mungu na washetani hakuna mwanadamu aliye na nguvu zake binafsi mwanadamu Ni kama chombo kinacho pokea vitu kutoka sehemu sasa jukumu Ni lako kupokea vitu kutoka kwa Mungu Wa kweli au shetani Kama unapenda kusoma...
  3. S

    JamiiForums Tanzania ACT ni mbadala wa CHADEMA au CCM?

    Sasa hiki chama si Kama CHAMUDATA tu kinanini!!?
  4. S

    JamiiForums Tanzania Maajabu! Arusha kuna nabii ana makadinali

    Kazi ipo kwa wale wasio jua kutofautisha kati ya tango pole na tango harisi
  5. S

    JamiiForums Tanzania Hivi ndivyo mchungaji anapaswa kusalimiana na kondoo wake

    Hiyo Ni nzuri tu
  6. S

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kweli kwamba wanaume wengi wanapenda wanawake weupe?

    Hao Ni wasukuma bana
  7. S

    JamiiForums Tanzania Dr.slaa afunguka kuhusu posho - uzalendo wa DK SLAA ukowapi???

    Sehemu anapo kaa mwongo( mwana siasa) Ni shida
Back
Top Bottom