Otorong'ong'o
JF-Expert Member
- Aug 17, 2011
- 37,526
- 25,734
Wakuu,,,
Nikiwa nimejipumzisha home huku nikitafuta steshen murua ya Radio ili kusikiliza kusindikiza usiku wangu vyema mara nikakumbana na Radio hii inayoitwa NYU Radio ama (Ngurumo ya Upako Fm )
Kwakuwa nilikuwa sijawahi isikia hii redio kutokana sikuwa nipo Arusha kwa muda mrefu ilibidi ni stop hapo ili kuisikiliza...
Wakati naendelea kusikiliza kulikuwa na kipindi nafikiri cha Ushuhuda mbali mbali kwa waumini wa Nabii Geo Davie....
Basi muumini mmoja akawa anatoa shuhuda zake jinsi alivyo guswa na mahubiri ya Kadinali wa kanisa hilo..
"Yani Fan J natamani Baba, Mh, Dr. Nabii Mkuu Geo Davie angechagua hata Makadinali wengine 10"
Hakika nilistaajabu sana..
My take:
Haya makanisa yaache kuiga hata mambo mengine ambayo hayawahusu...Kwa mtindo huu huyu Nabii karibuni ataanza kujiita Baba Mtakatifu (Papa Geo Davie)...