Recent content by SINTO FAHAMU

  1. S

    Tanzia: Ustadh Ilunga afariki dunia

    Wait for your father to die and see how good it is to rid yourself of bad rubbish...
  2. S

    Nani alidanganya kati ya gazeti na Dr Slaa

    Kama Mbowe waziri Mkuu, rais wake si Slaa, mbona hakualikwa?
  3. S

    Nani alidanganya kati ya gazeti na Dr Slaa

    Ni magazeti hayo hayo yanayodanganya siku zote, na babu slaa kwa kukosa uadilifi kama kawida yake akavamia magazeti bila uchunguzi, huku mbowe na wenzie wakimficha kuwa wamealikwa, angeandaa maandamano akisaidiwa na jambazi la arusha na lile la singida kuwaharibia wenzao
  4. S

    Dhifa ya Kitaifa na Obama: Mbowe ndani ya mwaliko Ikulu

    Leo Mbowe kawa pandikizi?
  5. S

    CHADEMA Kupata Kura 28.34% Ngome ya CCM Iramba Linatuambia nini?

    Ccm, chama cha mapinduzi ccm nambari.....wapinzani wanalia aaaah,ccm nambari one wembe kushinda ule ushindi, wembe kushinda ule, wembe wembe
  6. S

    CHADEMA Kupata Kura 28.34% Ngome ya CCM Iramba Linatuambia nini?

    inatuambia kwamba hawakubaliki
  7. S

    Bombing: Tanzania frees 3 Emiratis

    Inaelezwa wazi kuwa hao waarabu walikuwa at the wrong place at the wrong time.......cardinal pengo amesema anaushahidi kutoka kwawatu wakaribu yake na anao waamini kuwa sio shambulio la kidini kwa makusudi tu mnataka kupindisha ukweli, ambrose atamtaja tu aliemtuma nyie mnataka kupotosha si...
  8. S

    Bombing: Tanzania frees 3 Emiratis

    NANI ASIYEJUA KUWA CDM NDIO WAASIS WA UDINI MPAKA MWENYEKITI WAO PADRI......SASA LABDA KAMA UMEPEWA NUSU KAPUTI HUNA FAHAMU NDIO UTAAMINI HIZO PROPAGANDA. PILI KAMA CCM NI WADINI NA MPAKA WATOLEWE BASI UDINI HUO HAUTAKWISHA MAANA PAMOJA NA PROPAGANDA ZENU ZOTE MITANDAONI CDM INAZIDI KUSHUKA...
  9. S

    Shambulizi la arusha limelenga kuwatisha wakatoliki kutoshiriki kura ya maoni ya katiba mpya.

    Kwa nini utumwe kwa wakristo tu? Kwani yakitokea machafuko ya kidini wataathirika wakristo tu?
  10. S

    Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

    Mimi ni mgeni katika JF, lakini kila nikiingia humu naona Mohammed Said anapigwa vita juu ya kitabu chake au publications zake, true scholars would counteract by writiing books by enlisting facts, humu sioni ni firimbi tu, kiandikwe kitabu ambacho kita counter facts zilizoandikwa na Mohammed...
  11. S

    Maaskofu Tanzania watoa Tamko, wakemea udini, ukanda na ukabila!

    Nyie mlio soma sana mbona mnashindwa kutambua 25 dec sio siku ya kuzaliwa Yesu, any theolegian and any scholar will tell you this.
  12. S

    Maaskofu Tanzania watoa Tamko, wakemea udini, ukanda na ukabila!

    All sensible people accept and acknowledge these facts, hata madri na maaskofu wanalitambua hili, viongozi wengi wadini ya kiislam walio thubutu kumtahadharisha Mwl kuhusu hatari ya mwenendo wake waubaguzi wa dini alioufanya wazi wazi, aliwafunga na maaskofu wote wanajua mambo haya, ila matamko...
  13. S

    Maaskofu Tanzania watoa Tamko, wakemea udini, ukanda na ukabila!

    Ndio asingekuacha maana yeye ndie aliekuwa muasisi wa sera hizo
  14. S

    Maaskofu Tanzania watoa Tamko, wakemea udini, ukanda na ukabila!

    Wengefungu zaidi kwa kuwafafanuliwa waumini wao nini maana ya Christmas, historia yake na kwa nini 25 december sio siku ya kuzaliwa Yesu, ingekuwa na tija zaidi maana hayo ni mambo ya kiroho, haya mengine wangeyazungumza siku ya 9 december au 7/7 maana hayo ni mambo ya kisiasa, mkiambiwa nchi...
Back
Top Bottom