Huu ndio ujinga wa ukiwa. Wanakurupuka mno, badala ya kuchangia anakurupuka na Msemo wa zamaani ooo sindano imeingia, ndio yale majinga eti buku saba. Ukawa na fisadi mkuu lowasa ni kama Tanga na boti yaana wafu wanakokotana. Kura yangu ni kwa Magufuri.
Man of God do not support corrupt people like Lowasa. I hope you are corrupt too watch out. Lowasa the corrupt will never ever touch the state house in his remaining life time. Save your fellow Tanzanians vote for Dr Magufuri.
Huyu mama Fisadi ameishachanganyikiwa mbowe ameisha mfanya mtaji kachukua pesa zao lkn sio mbaya maana walituibia wamerudisha. Hata akaongelee bbc ataishia kuiona ikulu ileeeee. Ufisadi walioufanya mbona hauzungumziii, mshahara wa dhambi siku zote ni mauti. Tunasubiri 25 tumpeleke magufuri...
Kaa kimya ww fisadi mwenzio anajiharishia kule ww unaharisha hapa. Tunataka rais wa nchi sio katuni au mfano wa raisi. Maabilioni alitotumia kwa kampeni yametosha maana amerudisha kwa wananchi pesa alizoiba. Magufuri ndio chaguo letu huyo atakuwa rais wa chadema na sio wa tanzania. Fisadi wenu...
Yaani bado mpo na jambazi lenu la richmond mnalitembeza mikoani ili wananchi walijue. Mngejua tumeishaamua mafisadi tunayasubiri tunayasubiri 25 tuyachinjeee. Mamtu yameibaa leo yanataka urais. Fisadi papa hawezi kupewa nchi hata dawa tutampiga vita fisadi mpaka kaburini. Kura yangu ni kwa rais...
Kagame dictator yule anajifananisha na tanzania. Wapinzani hawana sauti rwanda anawaua kila siku. wakati tanzania wapinzani wapo huru mpaka wanaua wapinzani wenzao, eg chacha wangwe na mtikila. Sema mtu akila viazi na juice ya azam anaongea chochote. KURA YANGU NI KWA MAGUFURI.
Labda angesema sasa hospitali zimetosha maana zimeenea, na mpango wake ni kuweka wauguzi kushauri watu wasiambukizwe zaidi. Sasa kusipokuwapo hosp watu watatibiwaje au magonjwa nayo anayafuta. Huyu ni kichaa tumemjua zamani yeye shida yake ni ikulu.
Tunampa urais Magufuli sio huyu mfano wa...
Kwa nini heche naye asitoe rushwa mbona lowasa yeye anatoa kwa mabilioni au yeye ameishiwa. Heche ni kichwa maji yule kushinda ni ngumu labda aingie msituni tu.
Mihemko kibao. Kujipa moyo siku zote ni kuzuri japo huwa hakubadili matokeo. Fisadi alilaaniwa tangu Yesu yupo duniani na ni mafisadi walimuuza kwa vipande thelathini. Hatuwezi kumuacha muadilifu na kumchukua mpiga dili mkuu. Kura zetu kwa John Pombe Magufuri.
Kama aliwaahidi atawatangazia matokeo maana yake labda atarudi kabla ya matokeo. Lakini kunyume chake labda ameona upepo haupo upande wake bora apige kimya tu. Kura yangu ni kwa Magufuri.
Ridhika mbona watu mnakuwa na tamaa na kujibaraguza. Lowasa ww ndio umemjua leo acha ushamba pori. Kuna watu jimboni kwake wanahalimbaya wala msaada hawana na lowasa amejilimbikizia mabilioni ya kampeni. Shukuru kwa kila jambo kuna nchi hata huo mkopo hawana. Danganyikeni na lowasa. Kura yangu...
Hofu tupu, yaani mwaka huu mpaka mnye, MTAJI WENU FISADI JAMBAZI LA UCHUMI. Maneno meengi. Tulieni mpira ndio kwanza upo katikati mtanyooka tu. Kura yangu ni kwa Magufuri.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.