Wewe ni mke wa mgombea wetu wa Urais,Dr. Magufuli. Unapaswa kuwa sambamba na Dr. Magufuli kama afanyavyo Regina Lowassa. Regina amezunguka nchini kupiga kampeni;anahojiwa na vyombo vya habari na kuandikwa.
Regina Lowassa anamwombea Lowassa na wagombea wa UKAWA kura. Anatamba na kupamba. U wapi Janeth Magufuli nawe ujibu mapigo? Jitokeze tafadhali hata kwa siku chache zilizobaki. Regina aweze ana nini na wewe ushindwe una nini?
Usikubali kushindwa na Regina Lowassa. Jibu mapigo na madoido!
Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam
Hamna chochote mmeshamtia mama Regina Lowassa dole la tako mnamtafuta Janeth Magufuli nae mumtie dole la tako kama shida yako ni kiboga mtafute Regina ndio kazi yake akilewa tu kwisha habari yake unajilia mzigo kiulaini kabisa.