Hongereni HELSB 2015/16

Hongereni HELSB 2015/16

acha uongo huo..hakuna kitu kama hicho alafu hamuwez kuingiziwa boom wakati mpo rikizo now mmesign wapi..??acha kudanganya wadog zetu

we uko wap boom ilsha ongezekaga kwenye ile budget mpya ya 2015/16 kama ubsha bas ndg
 
we uko wap boom ilsha ongezekaga kwenye ile budget mpya ya 2015/16 kama ubsha bas ndg

sasa wewe unaposema mmeingiziwa niambie mlisign lini na huku mpo likizo...achaaaa uongooo.
 
Tunashkuru heslb kwa kutupatia mkopo!!!!!. Mungu AWABARIKI

Huu ni mwaka wa uchaguzi lazma wafanye hivyo,unashindwa hata kujiongeza kujua ki2 kidogo kama hicho.!
Kumbuka mwaka 2010 ilikuwaje.
 
Bum unaingiziwa vp wakati hauja saini chochote,, hamnaga kitu kama hiyo,,,NA kuongezeka kwa bum tupe source ya news zako
 
Sema inawezekana kwa ajili ya uchaguzi maana polisi saa hivi wanakula posho kubwa kinyama kama magufuli alivyodhibitisha KWENYE kampeni
 
sasa mnashukuru nn? Mkopo umekopeshwa utalipa wote. Cha kuomba Edo ashinde maana kasema ilimu bure ila akipita msukuma pori utalipa hadi senti ya mwisho kama sisi tynavyolipa. Hakuna cha kusema asante it is govt. business na kibaya zaidi madeni haya yana-interest!!!

Ridhika mbona watu mnakuwa na tamaa na kujibaraguza. Lowasa ww ndio umemjua leo acha ushamba pori. Kuna watu jimboni kwake wanahalimbaya wala msaada hawana na lowasa amejilimbikizia mabilioni ya kampeni. Shukuru kwa kila jambo kuna nchi hata huo mkopo hawana. Danganyikeni na lowasa. Kura yangu ni kwa Magufuri.
 
sasa mnashukuru nn? Mkopo umekopeshwa utalipa wote. Cha kuomba Edo ashinde maana kasema ilimu bure ila akipita msukuma pori utalipa hadi senti ya mwisho kama sisi tynavyolipa. Hakuna cha kusema asante it is govt. business na kibaya zaidi madeni haya yana-interest!!!

mkuu mbavu zangu eti msukuma tutalipa hadi senti ya mwisho daaah na wale ambao hawakatwi mbona watatafutwa na penati juu
 
Mnaohoji hayo maelezo na wasi wasi na elimu zenu!!!!
 
Hivi mnaobisha mmeingia website ya sua kuangalia au mnaachama tu..?
 
unajua unanifanya nasoma hii thread mara mbili mbili....mana nimefulia kinoma af naona kama hii habar ya uongo lkn nataman iwe ya kwel...
 
Bum unaingiziwa vp wakati hauja saini chochote,, hamnaga kitu kama hiyo,,,NA kuongezeka kwa bum tupe source ya news zako

Bum wameongeza 1000 mkuu na kuwa 8500. Yan hujui hl! tembelea ukurasa wa HESLB upande wao wa NEWS utapata tangazo hlo. Nenda na wakat kjana wa chuo kikuu.
 
Bum wameongeza 1000 mkuu na kuwa 8500. Yan hujui hl! tembelea ukurasa wa HESLB upande wao wa NEWS utapata tangazo hlo. Nenda na wakat kjana wa chuo kikuu.

HAKUNA kitu pale ktk news ,taarifa zilizopo ni za UFAFANUZI WA TAARIFA ZISIZO ZA UKWELI ZA WALIOPATA MKOPO MWAKA WA MASOMO 2015/2016,,,,,,, tangazo la pili ni la GENERAL PROCUREMENT NOTICE FOR THE ACADEMIC YEAR 2015/2016,,,,,, tangazo la Tatu na mwisho ni la EMPLOYMENT OPPORTUNITIES,,,,,,,, ACHA UZUSHI WATU TUPO CHUO MWAKA WA TATU NA TAARIFA ZA UZUSHI TUNAJUA KUZIPROVE NI WRONG KWA KUJUA TUU SOURCE YA TAARIFA ZAKO,,,,,,,be realistic
 
8500............dah kidogo aisee ndo maana mi sihiitaji kabisa
 
HAKUNA kitu pale ktk news ,taarifa zilizopo ni za UFAFANUZI WA TAARIFA ZISIZO ZA UKWELI ZA WALIOPATA MKOPO MWAKA WA MASOMO 2015/2016,,,,,,, tangazo la pili ni la GENERAL PROCUREMENT NOTICE FOR THE ACADEMIC YEAR 2015/2016,,,,,, tangazo la Tatu na mwisho ni la EMPLOYMENT OPPORTUNITIES,,,,,,,, ACHA UZUSHI WATU TUPO CHUO MWAKA WA TATU NA TAARIFA ZA UZUSHI TUNAJUA KUZIPROVE NI WRONG KWA KUJUA TUU SOURCE YA TAARIFA ZAKO,,,,,,,be realistic

we wawapi ww du mgumu xana kuelewa!! hebu nenda webu ya Sua.ac.tz chek
 
Back
Top Bottom