Recent content by Sinonim

  1. S

    JamiiForums Tanzania Adha ya kukosa ajira/kazi isikie tu kwa mwenzako

    siuanzishe NGO mkuu mbona matatizo mengi sana ya kufanyia kazi tena na hiyo degree ya community devp ndo kabisa unatoboa sema lazima uwe patient
  2. S

    JamiiForums Tanzania Adha ya kukosa ajira/kazi isikie tu kwa mwenzako

    labda mkuu
  3. S

    JamiiForums Tanzania Adha ya kukosa ajira/kazi isikie tu kwa mwenzako

    heading mkuu umeniacha neno hazma!!!!!!
  4. S

    JamiiForums Tanzania Kipi Kinakuvutia JamiiForums?

    kwa hiyo na wewe mjr95 unatarajia kupata majibu tofauti na uliyotarajia?????
  5. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wananisifia mpaka nashangaa

    mtu anakuambia unamdinya kama unambaka unasema kakusifia!!!!!!
  6. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ijue first class mistake inayofanywa na wadada katika kumchagua wa kumpa papuchi yake

    eti mkuu wanang'an'gana tuanze na manjonjo ya lunch na maviwanja haa sasa tatizo utakuta anapokea ofa za waatu kibao je hao wote atakuwa na malengo nao au ndio kuchunwa? kwani nikija straight nikamwambia hitaji langu kuna shida gani mpk nianze na kugharamia wakati bdo mtu anakuwa hajawa wako...
  7. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ijue first class mistake inayofanywa na wadada katika kumchagua wa kumpa papuchi yake

    dah aise yani mpk nigharamike hivyo lol hlf ht sijakuambia kitu mhhhhh halafu na ninyi mlivyo unaanza sema nimepata jinga langu nalichuna kwani kuna shida gani nikununulie kiwanja tukiwa tayari tunafahamu sisi ni wapenzi? tatizo sio ukarimu ila lazima kuwe na reward ya kuumotivate nikishajua...
  8. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ijue first class mistake inayofanywa na wadada katika kumchagua wa kumpa papuchi yake

    aise aisee ni ndefu mno na inategemea unaweza ukawekeza kwa mtu ambaye hakufeel akatumia ujanja kukuvuna ni heri niseme mapema ukikataa naulizia wiki moja km hakuna response nasepa lol unaanza kumtoa mtu lunch tatu nne tano hujasema chochote asipokuelewa utamlaumu nani
  9. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ijue first class mistake inayofanywa na wadada katika kumchagua wa kumpa papuchi yake

    teh teh teh ya nini kutumia njia ndefu hivyo wakati mwisho wa siku shughuli ni ile ile
  10. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ijue first class mistake inayofanywa na wadada katika kumchagua wa kumpa papuchi yake

    sasa kwani hapo unakuwa hujatongozwa
  11. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ijue first class mistake inayofanywa na wadada katika kumchagua wa kumpa papuchi yake

    mh naona unamuhakikishia ulivyo mwamba teh teh teh
  12. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ijue first class mistake inayofanywa na wadada katika kumchagua wa kumpa papuchi yake

    lakini anachosema siunaelewa duh km ana kigugumizi afanyeje
  13. S

    JamiiForums Tanzania Niulize swali lolote kuhusu Anatomy

    bacteria wa malaria mhhhhhhhh mkuu sahihisha hapo
  14. S

    JamiiForums Tanzania Serikali itazingatia? Mambo muhimu ya kuboresha kwenye Ofisi za Umma

    namba 2 mkubwa alishakataa alisema km ni makongamano, semina, warsha yalishafanyika sana hivyo ni wakati wa KAZI TU kwa hiyo MISA TAN wasahihishe Hapo
  15. S

    JamiiForums Tanzania Ufinyu/kubaniwa kwa course za Afya sio kurudisha heshima ya elimu bali n tatizo zaidi ya cancer!!

    kwa hyo kuna haja nikifika hosp kuuliza dokta umesoma wapi
Back
Top Bottom