Wananisifia mpaka nashangaa

Wananisifia mpaka nashangaa

Inakuaje wadau,

Imekuwa kila nikimtafuna mwanamke awe ametulia au wale vicheche lazima mwisho wa siku atanimwagia sifa kibao kwamba napiga mashine vizuri pia bastola yangu ni tamu

Mwanzo nikawa nadhani wananijaza ujinga tuu, juzi juzi nimempiga chini demu wangu wa muda mrefu asee katika kashfa zote amenitolea sijasikia akidai sijui kupiga papuchi. Alinichekesha aliposema " Kwanza mwanaume mwenyewe ulikuwa unanihenyesha saaana ukinidinya siku nzima nalala utadhani nimebakwa" nikabaki nacheka tuu

Je ni kweli au wananijaza ujinga tuu? hebu nipeni mtazamo wenu pia wake kwa waume

Wamekujaza ujinga, huyo umempiga chini akakubali kwa sababu huna hela ya kumpa au ulikuwa unampa ukaacha.
 
Hakuna , hayo mautelezi yapo mengi tu ukifikiria ngono
Na wanaume wachache sana wanaoweza kumfikisha mwanamke kileleni wengi wenu mnajua kuchomeka na kusugua basii
Kwahiyo unataka kusema kwamba ww hukuna anaeweza kukufikisha ndo maana umeamua kujtia vidole .so wenzako wanafikishwa tunawaona tena akifika anasema kabisa nakelele juu unajua hapa tayari karidhika hayo mautelezi yako yakujitia vidole so inshu .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Laiti kama vichwa vyetu vingekuwa vya kioo...heheh kuna watu wangekuwa hawatoki nje!!!
 
Inakuaje wadau,

Imekuwa kila nikimtafuna mwanamke awe ametulia au wale vicheche lazima mwisho wa siku atanimwagia sifa kibao kwamba napiga mashine vizuri pia bastola yangu ni tamu

Mwanzo nikawa nadhani wananijaza ujinga tuu, juzi juzi nimempiga chini demu wangu wa muda mrefu asee katika kashfa zote amenitolea sijasikia akidai sijui kupiga papuchi. Alinichekesha aliposema " Kwanza mwanaume mwenyewe ulikuwa unanihenyesha saaana ukinidinya siku nzima nalala utadhani nimebakwa" nikabaki nacheka tuu

Je ni kweli au wananijaza ujinga tuu? hebu nipeni mtazamo wenu pia wake kwa waume
Jaribu kujichua kiganja kitakupa riport kamili mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Endelea mkuu Kazi nzuri na siku ukipata UKIMWI uje tukupongeze endelea mwana

carnte himself
 
Deshi deshi ndio waliwao! Ngoja nikupe neno LA hekima! Acha kutoa zawadi wala hela yoyote kwa wale unaodhani wanakusifia halafu uone kama sifa zitaendelea kuja!
Inasifiwa pochi hapo! Unavimbishwa kichwa ili watu waendelee kukufanya ATM yao! Kalaghabaho
 
nakumbuka miaka kadhaa nyuma hizi ndio zilikuwa topic zangu hapa jf na kule fb.....sema sasa hivi issue ya maturity inanikuhumu sana....umri umeenda,akili imepevuka na majukumu yameongezeka.

acha madogo wa sasa watawale.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom