Huyu bwana ana dalili zilizo dhahiri za ugonjwa wa akili wa narcissistic personality disorder, serial killers wengi wana dalili hizohizo...kesho akianza kucharanga watu mapanga sote tutaacha kumcheka.
Mimi naunga mkono hoja ya wataalam kutoka rwanda kuja kututatulia matatizo yetu....ila naomba haya mambo yasiishie hapo tuu. Kuna umuhimu pia kuangalia uwezekano wa kuleta waalimu kutoka kenya, madaktari kutoka india, askari kutoka uingereza, majeshi kutoka israel, maengineer kutoka ujerumani...
Dah....hili tangazo bora lingetafsiriwa alafu ndio likabandikwa...mwafrika kwa tamaa zake mwenyewe anajipeleka kwa muarabu kutafuta ajira...akifika huko ananyanyaswa kwasababu nchi yake ...ambayo inaendeshwa na muafrika mwenziwe haina ubavu wa kumtetea....leo hii serikali ya kiarabu inaingilia...
Mkuu, sijui kuhusu crv model mpya bila ya shaka maana nazo ni gari nzuri sana. Mi nilikuwa na model ya zamani ya 2000. Nilitamani sana kununua model mpya ila niliogopa baadae resale. Maana watu wana midomo mibaya!!!
Nimenunua hivi karibuni ya 2006. Nimefurahia sana comfort, pamoja na build quality. Bila ya shaka zina nguvu ya kutosheleza barabarani kiasi cha kwamba overtaking haikupi shida kabisa. Ila cha kushangaza zaidi ni kuwa matumizi ya mafuta ni wastani. Hayatofautiani na gari zenye engine za lita 2...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.