Recent content by Singii

  1. Singii

    Msaada wa namna ya kudeal na Mpangaji msumbufu

    Hakuna sheria kama hiyo, ilifutwa miaka mingi sana, maana ilikuwa inamkandamiza mwenye nyumba. Kiufupi Tanzania hakuna sheria ya wapangaji na wenyenyumba, wanaongozwa na mikataba yao binafsi .
  2. Singii

    Wanawake wa mkoa Singida mngejua tumia uzuri wenu na misimamo nchi hii mngelifikisha taifa mbali

    Ilikuwa kwenye gazeti, ni siku nyingi. Unaweza ku google
  3. Singii

    Wanawake wa mkoa Singida mngejua tumia uzuri wenu na misimamo nchi hii mngelifikisha taifa mbali

    Kuna makala moja nilisoma kuwa, wakati wanyaturu wanatoka huko kwao Ethiopia, Walipita na kuweka makao ktk hayo maeneo wanayoishi wanyatunzu wasasa. Hivyo basi kulikuwa na intermarriage na baadhi ya wasukuma. Kwahiyo mnyantunzu ni mchanganyiko wa mnyaturu na msukuma Hiyo makala ilikuwa na...
  4. Singii

    Mke wa Dr. Mwaka anadai Talaka 3. Sasa yale mafundisho yake ya ndoa tufuate au tumteme?

    Natamani nitoe elimu ya sheria ya ndoa, watanzania wengi wapo gizani. Sio waislamu tu hata wakristo walio wengi hawaelewi chochote.
  5. Singii

    Kukua kwa Soko la Muziki, na Kuongezeka kwa Ushoga

    Daa![emoji849][emoji849][emoji849]
  6. Singii

    Anayejua Rais Samia Suluhu anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

    Kwa sisi tuliopitia machungu ya mwendazake direct, kwakweli tunampenda
  7. Singii

    Ben Pol aomba Talaka Mahakamani dhidi ya Mke wake Anerlisa

    Kwa sheria za bongo, mke au mume anaweza kudai talaka kama ana sababu zinazo kubalika kwa mujibu wa sheria
  8. Singii

    Je, huyu anaesemwa na Wema Sepetu kwenye tangazo hili la dawa za Mkongo, anaweza kushitaki kwa udhalilishaji kwa manufaa ya kibiashara?

    Hivi wema ni wa singida au mama yake ndo wasingida, wema baba yake ni mnyamwezi. Mbona huwa mnakataa mkiambiwa Mh. Nape ni wasingida? Wakati mama yake Nape naye ni wasingida
  9. Singii

    Siumii kukosa ajira ila napata 'stress' kutoka kwa wanaosubiri niajiriwe

    Mimi niliwablock watu kibao, nilikuwa nikipokea simu ya mtu, baada ya Salam , swali linalofata ni " bado hujapata kazi". Sasa hivi naishi kwa amani, Nina marafiki wapya ambao hata hawajui Kama nilipitaga chuo.
  10. Singii

    Biashara ya Dagaa: Mjadala wa Uendeshaji, Masoko, Faida, Hasara na Changamoto zake

    Nami nichangie kidogo, dagaa wa Mwanza wakivuliwa hukaushwa kwa kuanikwa chini, kwenye mchanga, hawa huwa nikwaajili ya kusafirishwa nje ya mkoa. Wanaotumia wenyeji ndani ya Mwanza huanikwa juu ya miamba, Hawa huwa hawana mchanga hata kidogo, pia huwa weupe. Dagaa kutoka Bukoba huanikwa juu...
  11. Singii

    Huyu ndiye mwanzilishi wa Tuzo za Muziki Tanzania "Tanzania Music Awards"

    Mimi nani? Mtoto wa Dandu, natokea wapi? Watokea Mwanza×2. Mtoto wa Dandu bado na tesa, kufika Mombasa napendwa Kama pesa. Moja ya wimbo ulio tamba sana, hasa RFA.
  12. Singii

    Ni chakula kipi unaweza kula mwaka mzima bila kubadili ukiwa peke yako?

    Mimi nimvivu wakula, ila linapokuja swala la makande ya mahindi mabichi na maharage, naweza kula hata mwaka mzima.
  13. Singii

    Chakula gani ulikula mara moja na kwa mara ya kwanza hadi leo hutaki tena kukila?

    Hawa kuku nilikuwa nawasikia tu, siku hiyo nimewaonja nilijuta. Bora nile wale wa vibanda vya chips, Wana ladha.
  14. Singii

    Jinsi ya kuepuka migongano isiyo ya lazima: Ishi na watu kwa kufuata taratibu hizi

    Namba 4 imenipotezea marafiki wengi tulio soma nao, nilikuwa nikiona simu zao tu, najua swali la Kwanza litakuwa " Bado hujapata kazi tuu", hawakujua maumivu niliyokuwa nayasikia moyoni, mwishowe nikawa sitaki mawasiliano nao kabisa.
  15. Singii

    Mwanafunzi wa Darasa la Kwanza Shule ya Msingi St. Anne Maria Mbezi, amefariki dunia baada ya kutumbukia kwenye sufuria la chai

    Hii ni shule ya Mbuge wa Bukoba vijijini anaitwa Rweikiza, anamiliki shule nyingi tuu.
Back
Top Bottom