Recent content by singanojr

  1. singanojr

    JamiiForums Tanzania Kwanini mawakala wa kufanya mihamala ya simu wanachelewa kufungua ofisi?

    Bora wa maeneo mengine wanawahi aisee! Nenda maeneo ya Posta kule ..chini ya saa tatu unakutana na walinzi.
  2. singanojr

    JamiiForums Tanzania Simulizi ya kijasusi: Shetani Rudisha akili zetu na mke wangu

    Asante mkuu! tunachimba kuhakikisha burudani inakuwa ya kipekee.. Karibu kuendelea Fasihinet kama kuna simu kubwa
  3. singanojr

    JamiiForums Tanzania Simulizi ya kijasusi: Shetani Rudisha akili zetu na mke wangu

    Hamza alijikuta akishangaa mara baada ya kumwangalia Regina , kwa mwonekano wa Regina , ilikuwa ni dhahiri alikuwa akimfahamu huyo mwanaume , lakini mtu huyo hakuonekana kuwa mdogo. Kulinganisha na Regina kulikuwa na utofauti ambao ni zaidi ya mbingu na ardhi , na Hamza alijiuliza inakuwaje...
  4. singanojr

    JamiiForums Tanzania Simulizi ya kijasusi: Shetani Rudisha akili zetu na mke wangu

    SEHEMU YA 240 Ndani ya uwanja wa wa ndege wa kimataifa wa Nyerere , jijini Dar es Saalam, alionekana Dastani akiwa ndani ya gari kando kabisa na magari ya Abiria maarufu kama Taksi , Bolt au Uber. Kanali gari ambalo alikuwa amesimamisha lilikuwa pia na Banner , ilionyesha ni gari...
  5. singanojr

    JamiiForums Tanzania Simulizi ya kijasusi: Shetani Rudisha akili zetu na mke wangu

    SEHEMU YA 238 Kuna haja ya kumuita Shemeji Hamza mara baada ya Regina kukubali Irene kujifunza nishati za mbingu na ardhi , aliweza kuelewa alichokuwa akifikiria , kwa Regina pia aliijihisi alikuwa mtoto wa nje ya ndoa vilevile , hivyo asingeweza kumchukulia Irene kama wa nje, ama kujiona...
  6. singanojr

    JamiiForums Tanzania Je, huku ni kujifariji au ndio uhalisia?

    Umemaliza
  7. singanojr

    JamiiForums Tanzania Simulizi ya kijasusi: Shetani Rudisha akili zetu na mke wangu

    Wangapi mnataka niendelee hapa hapa?
  8. singanojr

    JamiiForums Tanzania Simulizi ya kijasusi: Shetani Rudisha akili zetu na mke wangu

    https://fasihinet.com/novels/2/
  9. singanojr

    JamiiForums Tanzania Simulizi ya kijasusi: Shetani Rudisha akili zetu na mke wangu

    Huku wasomaji ni wachache sana ..Kule FasihiNet hakuna hata malipo makubwa kusoma ..nicheki tu nikupe pas usome episode nyingi kwa bei kiduchu
  10. singanojr

    JamiiForums Tanzania Simulizi ya kijasusi: Shetani Rudisha akili zetu na mke wangu

    Katika kina cha historia iliyofichwa, kuna ulimwengu usioandikwa katika vitabu vya wanadamu—ulimwengu unaoitwa Agartha, ufalme wa chini ya ardhi unaotawaliwa na sheria za kale zisizovunjika. Hamza, kijana aliyejikuta akivutwa na mlango wa siri uliofunguka kwa bahati mbaya, anaingia katika eneo...
  11. singanojr

    JamiiForums Tanzania Miguno, vilio, sauti za mahaba vinapotea taratibu

    Asalaleeee🤣😁 Umemaliza
  12. singanojr

    JamiiForums Tanzania Simulizi ya kijasusi: Shetani Rudisha akili zetu na mke wangu

    Hamza anapewa mtihani maalum wa kuingia kwenye Mnara wa Nafsi za Kale ili kupambana na wapiganaji wa nafsi hizo. Wazee wa Umoja wa Underworld Alliance wanaamini kwamba akiingia ndani ya mnara huo, hatatoka tena. Akiwa anasikiliza ukubwa wa nguvu zinazomkabili kutoka kwa wazee wa nafsi za kale...
  13. singanojr

    JamiiForums Tanzania KERO Mfumo mpya wa Usajili wa Madaktari wa HPRS unasumbua sana, MCT nao hawapokei simu zetu

    Utatulia hata Brela walipohamishia BOS mfumo ulikuwa unasumbua sana ..lakini sasa hivi umetulia ...Data Migration huwa zinachukua muda.
  14. singanojr

    JamiiForums Tanzania Simulizi ya kijasusi: Shetani Rudisha akili zetu na mke wangu

    Hii simulizi kwa wanaotaka kuendelea nayo, tuko mbali sana sehemu ya 600 na zaidi, .. tuko mbali Hamza tayari ana mtoto wa kike na Regina... kama unataka kusoma kwa watsapp au fasihinet nicheki 0687151346
Back
Top Bottom