asante kwa maelezo mazuli mm nilikuwa celewi hiyo manu bt nina swali hapo gari ni automatic vp utaipangia iingie kwenye manual wakat ni auto na inahiyo button ya manu
kwa uelewa wangu mdogo bunduki kubwa zote ni machine gun,sasa ndio unazipa majina kama AK47 na mengine mengi so alikuwa sahihi
Sent using Jamii Forums mobile app
kazi ya mungu ila jamaa ni jembe hatari ndugu uledi diwan wangu mtalajiwa,jilan angu na kaka ulie tulea mungu akupumzishe kwa aman daah inauma sana
Sent using Jamii Forums mobile app
jamaa hawakosei aisee cheki vizuri matokeo yanayo kubalika ni dk90 sasa kama magori yameingia kwenye dk za nyongeza naomba utulie nyumbani
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.