Recent content by sindiswa

  1. sindiswa

    JamiiForums Tanzania Wanawake maofisini ni sawa na "ng'ombe kwenye duka la kichina"

    Kuna unwritten law kwamba ukikuta mjasiriamali anauza bidhaa zake don't bargain nunua tu huwezi jua anapitia nini labda ana made ni, mahitaji ya nyumbani etc saa ingine wana stress wanaona unawakandamiza the least you can do is buy without bargaining.
  2. sindiswa

    JamiiForums Tanzania Wanawake maofisini ni sawa na "ng'ombe kwenye duka la kichina"

    I'm a woman and I agree with that! Japo kazi yangu haina direct contact na wateja/wahudumiwa ila wenzetu wanaotoa huduma wamezidi.....anzia kwa secretary ana nyodo kuliko boss mwenyewe, receptionist ndio kabisaa kuna nabaki kujiuliza kwani wamelazimishwa.....
  3. sindiswa

    JamiiForums Tanzania Uandaaji wa unga bora wa lishe kwa watoto, vijana, wazee, na wagonjwa

    Karanga zikikaa muda mrefu hupata unyevu nyevu na fungus inashauriwa kutochanganya badala yake wakati wa kupika waweza weka peanut butter. Ila kama inabidi kuchanganya usitengeneze mchanganyiko wa kukaa muda mrefu
  4. sindiswa

    JamiiForums Tanzania Kumiliki gari na kukosa hela ya mafuta ni dalili ya ukichaa

    Harufu ya wivu
  5. sindiswa

    JamiiForums Tanzania Mmiliki wa Serval wildlife ni nani?

    Hizo ndo bei zao pricey but worth the experience! Navunja kibubu October naenda na mwanangu ku enjoy just 2 nights...life is for the living pesa zinatafutwaaaa.
  6. sindiswa

    JamiiForums Tanzania Hatma ya maisha yangu ipo mikononi mwa kijana wa Buguruni

    Nimecheka sana nimemkumbuka Kidagaa
  7. sindiswa

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Single mothers nawaibia siri nyingine

    Sio kila single mother ameachwa wengine wameacha....ama mnafikirigi hakuna wanaume wenye mapungufu? Unakutana na limtu mwanaume yuko 30s ila anabet hawezi hata kununua pea ya socks kununua luku anashindwa ila ana hela ya bia...hana hata akiba ya kesho mtoto akiugua anapiga washkaji vizinga, mtu...
  8. sindiswa

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je, Wanaume wanaogopa ku-date na Wanawake waliowazidi kipato?

    wasababu hii mada ni story ya kweli ninachukua muda hasa kusoma na kutafakari mtazamo wa mwanaume juu ya kudate na mwanamke aliemzidi kipato. Nimejivua uhusika nikasimama pembeni kuangalia Wanawake ambao mnawataka nyie kaka zetu sifa mlizoweka hajasoma sana au asiwe na kipato kukuzidi...
  9. sindiswa

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je, Wanaume wanaogopa ku-date na Wanawake waliowazidi kipato?

    Asanteni wote kwa mawazo yenu mazuri nasoma na nina ji assess nakujifunza pia mtazamo wa kina kaka zetu . Uzuri wa JF mtu anakuja na ID fake ili aweze kuji express kwa uzuri kabisa na uwazi ili kupata honest opinion za wadau mimi ni mtaratibu sana na niko submisive sana tu. Ila imagine...
  10. sindiswa

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je, Wanaume wanaogopa ku-date na Wanawake waliowazidi kipato?

    Bila kupoteza muda niende kwenye mada. Nimekutana na matukio mawili yaliyonifikirisha na kunifanya nikaribie kwenu ili nipate mawazo yenu Binafsi nimewahi kudate huko nyuma baada ya kumaliza masomo ya chuo siwezi kusema yalikua serious kwasababu bado nilikua sijapata kazi na kufikia malengo...
Back
Top Bottom