Wanawake maofisini ni sawa na "ng'ombe kwenye duka la kichina"

Wanawake maofisini ni sawa na "ng'ombe kwenye duka la kichina"

Dokta Uchwara

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2022
Posts
1,370
Reaction score
3,164
Baada ya kukumbana na visa tofauti tofauti, niliukumbuka msemo mmoja unaowarejelea mazumbukuku waliolimbuka kama "a bull in a China shop".

Kwenye maofisi ya umma, wanawake ni vichefuchefu kweli kweli.

Unafika akuhudumie, mara unamuona anaperuzi WhatsApp huku kabinua mdomo.

Yuko na kasimu kake ati anachati — Kavimbiana mashavu kwa kisirani, na makucha kapaka rangi ya pinki.

Tofauti kabisa ukikutana na jamaa yuko ofisini ni chap chap tu unapata huduma unaendelea na mengine.

Kuna haja ya kuanza kutafakari vizuri uwezo wa wanawake kukalia ofisi za kazi hasa za umma.

Sidhani kama ni kazi zinazowafaa. Wakipewa nafasi wanakuwa malimbukeni wenye nyodo. Anaweza hata kumtandika makofi mmewe.

Ukimpatia fursa mwanamke ni sawa na kumpeleka ng'ombe kufanya shopping kwenye supermarket.

Hawa wanastahili kukaa nyumbani na kupika pika ubwabwa na kulea watoto.

Hizi zingine tunawalazimisha. Au ni kiherehere chao tu.
 
Baada ya kukumbana na visa tofauti tofauti, niliukumbuka msemo mmoja unaowarejelea mazumbukuku waliolimbuka kama "a bull in a china shop'.

Ukifika ofisi za umma, wanawake ni vichefu chefu kweli kweli.

Unafika akuhudumie, mara unamuona anaperuzi WhatsApp huku kabinua mdomo.

Yuko na kasimu kake ati anachati!

Akikuhudumia amebetua domo — sijui ndio kisirani? Huku anajivuta.

Tofauti kabisa ukikutana na jamaa yuko ofisini ni chap chap tu unapata huduma unaendelea na mengine.

Kuna haja ya kuanza kutafakari vizuri uwezo wa wanawake kukalia ofisi za kazi hasa za umma.

Sidhani kama ni kazi zinazowafaa. Wakipewa nafasi wanakuwa malimbukeni wenye nyodo. Anaweza hata kumtandika makofi mmewe.

Ukimpatia fursa mwanamke ni sawa na kumpeleka ng'ombe kufanya shopping kwenye supermarket.

Hawa wanastahili kukaa nyumbani na kupika pika ubwabwa na kulea watoto.

Hizi zingine tunawalazimisha. Au ni kiherehere chao tu.
Wanajishaua sana,dharau,kujiona classic

Ni upuuzi tu,hawafai
 
Kazi nyingi za umma , zimetawaliwa na fact kuwa applicants ni wengi kuliko nafasi halisi za kazi, kunahitajika nguvu nyingi sana kulinda kazi ya namna hii , na ndo sababu baadhi ya dada zetu , mbali ya kwenda kwa kalimanzila , pia hutumia miili yao kama dhamana ya kazi. Bosi muwajibishaji anapogeuzwa kuwa mmoja wa sex partners ndipo matatizo ya dharau yanapoanza .
Edwin semzaba knows it better. (Only for the grown ups)
 
I'm a woman and I agree with that! Japo kazi yangu haina direct contact na wateja/wahudumiwa ila wenzetu wanaotoa huduma wamezidi.....anzia kwa secretary ana nyodo kuliko boss mwenyewe, receptionist ndio kabisaa kuna nabaki kujiuliza kwani wamelazimishwa.....
Aisee ni shida sana. Full nyodo!

Unaweza kumtandika vibao ukamatwe na polisi.
 
Sasa umkute mwenye chura aka nundu ....
Alafu awe anamegwa na wakubwa
Kaz kweli kweli

Ova
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Nilienda taasisi moja hivi jina kapuni..

Yule binti alinibagaza Sanaa.. Kisa muhuni mmoja tu alikuwa anamega asee..

Kituko yule muhuni tunajuana na tunaheshimiana kitambo. Afta introduction ndio Dada yule kuanza kujibaraguza na kujizungusha ionekane chura yake... Nashukuru nilimshinda shetani... Maana alitaka kusawazisha goli la dharau zake Kwa kunikabidhi msambwanda wake.
 
Back
Top Bottom