Uandaaji wa unga bora wa lishe kwa watoto, vijana, wazee, na wagonjwa

venister 98

Member
Jun 11, 2022
9
10
Mahitaji muhimu ni ulezi 1kg, mahindi 1kg, karanga 1/4, mchele 1/4, ngano isiyokobolewa 1/4.

Chambua viungo vyote Kisha uvisafishe baada ya hapo vianike Juani vikauke vizuri.

Kaanga karanga kisha ondoa maganda yote, baada ya hapo changanya viungo vyote kwa pamoja, saga lishe yako tayari kwa matumizi.
 
mimi huwa naandaa hivi unga wangu wa lishe,
ndizi mshare 10 menya anika juan,viazi vitamu 5 siyo lazima lishe,menya kata vipande anika juan,mahind lishe kg2 osha anika juan,karanga lishe nusu kilo kaanga kutoa maganda,
vikisha kauka vyote changanya kasage,uji huu unaeeza weka maziwa ama usiweke ni mtamu sana.
 
Karanga zikikaa muda mrefu hupata unyevu nyevu na fungus inashauriwa kutochanganya badala yake wakati wa kupika waweza weka peanut butter.
Ila kama inabidi kuchanganya usitengeneze mchanganyiko wa kukaa muda mrefu
 
Mahitaji muhimu ni ulezi 1kg, mahindi 1kg, karanga 1/4, mchele 1/4, ngano isiyokobolewa 1/4.

Chambua viungo vyote Kisha uvisafishe baada ya hapo vianike Juani vikauke vizuri.

Kaanga karanga kisha ondoa maganda yote, baada ya hapo changanya viungo vyote kwa pamoja, saga lishe yako tayari kwa matumizi.
Nahita lishe kwa mama alie jifungua je naweza tumia hii hiii ama kuna vitu vinaongezeka?
 
Mahitaji muhimu ni ulezi 1kg, mahindi 1kg, karanga 1/4, mchele 1/4, ngano isiyokobolewa 1/4.

Chambua viungo vyote Kisha uvisafishe baada ya hapo vianike Juani vikauke vizuri.

Kaanga karanga kisha ondoa maganda yote, baada ya hapo changanya viungo vyote kwa pamoja, saga lishe yako tayari kwa matumizi.
Unasaga kwenye mashine Gani?
 
Back
Top Bottom