Inaumizaa mno, ila kwakua ulirecord akiwa anazungumza, ni rahisi wazazi wake kukuamini, pili pengine Mungu alikupeleka sehem hiyo kwa makusudi, imagine anaaga anaenda kanisani na wazazi wake wanajua hivyo kumbe anaenda kwenye ushetani huo, kama kuwaeleza wazazi wake ni ngumu, basi Muombe Mama...