Recent content by SINABAHATI

  1. S

    Jamani nina pepo la kukataliwa

    Baada ya kujitambua funga na kusali, tafuta watumishi wa mungu hiyo spirit itoke. Ninaushuhuda mwingi wa namna hyo unakuta kuna roho inakuafuatilia ya mababu zako au maneno ya watu tu so mungu ndo habari ya mjini.kama ni mkristo ni pm nikupe no ya mtumish anasemina dar anafungua watu kama weww...
  2. S

    kwa mdada aliyeacha/kuachwa

    Haha nahisi hivyo maana sijawah huwa happy.Ngoja nijikalie zangu single umri mdogo BP ya nn
  3. S

    kwa mdada aliyeacha/kuachwa

    Mapenzi yana wenyewe.mi sa hivi mtu ukiniambia nakupenda naona kama unanitukana ninavoyachukia haya mahusiano.maumivu yake bora mtu uwe single uwe happy
  4. S

    Maneno ya kejeli ya mume wangu

    Dada hakuna lisilo shindikana chini ya jua.Nina face matatizo hama hayo sema mm ni mchumba.tuligombana nikaambulia maneno ya kejeli ambayo yananiuma mpak Leo.ikiwemo nilikuchumbia kwa huruma tu, ma ex wangu walikuwa bora,huna akili, yote nimepokea kwa mikono miwili na anataka kuvunja uchumba...
  5. S

    Maneno ya kejeli ya mume wangu

    Dada hakuna lisilo shindikana chini ya jua.Nina face matatizo hama hayo sema mm ni mchumba.tuligombana nikaambulia maneno ya kejeli ambayo yananiuma mpak Leo.ikiwemo nilikuchumbia kwa huruma tu, ma ex wangu walikuwa bora,huna akili, yote nimepokea kwa mikono miwili na anataka kuvunja uchumba...
  6. S

    Maneno ya kejeli ya mume wangu

    wewe uliyesema haya maneno kama umemaanisasha utakiwa mchawi naomba sana mungu akushughulikie apendavo.mwanadamu gani unaroho mbaya hivo.
  7. S

    Nilikuwa nasikia tu kwa wengine, leo yamenikuta

    na nyie wanaume mmezidi ubahili na ubabe.wanaume wengine hata kumnunulia mpenzi wako hata zawadi huwezi, kila kitu ubabe, hujui kubembeleza , kila kitu usikilizwe wewe agrrrr ngoja tu mdanganywe bwana.ila mapenzi yanauma jaman bora mie nimeamua moja kumpenda mungu.mume wangu yesu tu basi.
  8. S

    Ndoa ina mwaka sasa inanishinda, sina hamu ya kufanya tendo la ndoa na mke wangu

    hahahaha umenichekesha. sana umenikumbusha mdogo wangu naye shule kaenda A level eti anadai ugali mbaya. na maharage baba akamwambia ukiwa na njaa utakula.sa hivi kazoea hata likizo harudi home.
  9. S

    Nahisi kufa kwa mawazo

    nimemweleza mama ake mzazi ni mtu wa dini ananiambia tusali na kufunga kumuombea eti ni aibu sana kusema tunaachana kwa sababu hiyo. ila nimemweleza ukweli hisia zangu
  10. S

    Ni rafiki yangu nimrudishie pesa yake?

    Hiyo hela usiitumie kuna siku utadaiwa wanaume hawa si ndugu zetu ohhooo
  11. S

    Siri ambazo hutakaa umwambie mkeo-part 1

    heee makubwa kwani ndugu zako si watamwambia tu.dunia haina siri
  12. S

    Baada ya miaka miwili simpendi tena

    kweli mapenzi ni kitendawili, wengine wanapenda wenye heshima na uadilifu we humpendi mwenye heshima unataka matako na miguu.huo ndo ubora wako wa kuchagua duu.hujawahi kuumizwa ukiumizwa na mwenye miguu na matako ndo utamani mwenye chongo
  13. S

    Nahisi kufa kwa mawazo

    Asante kwa ushauri wako.nshaanza kujiandaa kisaikolojia maana maumivu ya kuachana mhuu ila mungu atasimama na mimi
  14. S

    Nahisi kufa kwa mawazo

    Duu comment yako imenipa hasira maan maumivu niliyonayo moyon hayaelezeki.kuacha siyo ishu tatizo mtu anakuambia kaacha halafu dalili unazion japo mimi nina misimamo.je wazazi niwaambieje hapo kugumu
Back
Top Bottom