Recent content by SINA

  1. S

    ZILIPENDWA: Wanamuziki, nyimbo na mitindo yao

    Dah mambo ya wami bar mwananyamala, waimbaji hapo wote ni marehemu mzee Rusungu, Akida, Dede na Kitambi
  2. S

    Prof. Mruma na wenzake wameua sekta ya nishati na madini Tanzania

    Mtoa mada ni mjiolojia labda nikuulize umebobea kwenye jiokemia au jiofizikia au jiolojia? Pili unataka tume ingejilidhisha kujua percentage of recovery unaweza kuniambia hiyo ilikua ni hadidu ya rejea ya ngapi?. Hivi unaelewa kwamba wazungu awa wanauza makinikia yao mgodini then smelting cost...
  3. S

    Ukweli kuhusu Dr. Dau na NSSF

    Katika maelezo yako mtoa mada kuna vitu haujaweka sawa. Udini: Haujasema wangapi wamepewa ajira kutokana na uisilam wao na elimu zao zipo vipi Ubadhilifu: Haujasema ni kiasi cha shilingi ngapi zimeibiwa na Kabla shirika lilikuwa linatoa faida sh ngapi na baada ya Dr. Dau ni shilingi ngapi...
  4. S

    Waislam wa Tanzania na tatizo la udini katika Wizara ya Elimu

    Sasa hivi angalia baraza la mawaziri limejaa watu wa dini gani asilimia 75 na humu jf kimya. Wakati wa Kikwete akiteua waislam wakikaribia nusu tu ni kelele tupu. Msitegemee chochote
  5. S

    Watumishi wa serikali kutengewa mabilioni kwa ajili ya michezo ni aibu kwa serikali makini

    SHIMIWI ni wiki mbili tu. Halafu walianzisha si kama hawana akili walianzisha kwa malengo mazuri kumfanya mtumishi wa umma ajenge mazoea ya kufanya mazoezi kila wakati na mwisho aende kwenye mashindano. Pili inasaidia kufahamiana kama watumishi wa wizara husika tatu inatangaza shughuli...
  6. S

    Dr. W. Slaa anaondoka CHADEMA

    Watu wa jf wanafurahisha sana. Huyu mtoa post walikuwa wanamhusisha na Lowassa leo wanamkana sintoshangaa kesho Slaa akianza kukashifiwa
  7. S

    Dodoma kimenuka, Polisi watanda eneo la mkutano, baadhi ya wananchi wanaandamana

    Kikao kimehairishwa kwa dakika 30 tu kitaendelea
  8. S

    Zitto Kabwe achunguzwa kuvuna PAP

    aahahahah stori za Muhongo zimekwisha hiyo ndiyo Tanzania
  9. S

    Maswi kachukua likizo ya kustaafu

    Kuna kustaafu kwa manufaa ya umma unaweza ukastaafu kabla ya muda wako
  10. S

    Hii ndio Kambi yangu, Mtakao karibuni Kambini Msiotaka Acheni

    Ni kweli kabisa umenena ndugu. Kuna watu wengi wanakosoa CCM wakati wanafanya madudu yaleyale.
  11. S

    Mwenyekiti wa Mtaa wa Simu Mwanga Kigoma kupitia CHADEMA ahukumiwa kwenda jela

    Kulikuwa na mgogoro wa nyumba yao.
  12. S

    Mwenyekiti wa Mtaa wa Simu Mwanga Kigoma kupitia CHADEMA ahukumiwa kwenda jela

    Wana Jf, Nimepata habari kwamba mwenyekiti aliyechaguliwa siku chache zilizopita kupitia chama cha CHADEMA mtaa wa simu mwanga amehukumiwa kwenda jela kwa kosa la kuizuia mahakama isifanye kazi zake hivyo kukiacha kiti hicho wazi kwa ajili ya uchaguzi mwingine. Nawasilisha
  13. S

    Dhana ya kupita bila kupingwa imepitwa na Wakati

    Wana JF, Kuna tatizo linazidi kukua siku hadi siku kwa chama tawala kuweka mapingamizi kwa wapinzani ili wagombea wake wapite bila kupingwa. Nina shauri sheria za uchaguzi zirekebishwe ili kunapotokea kuna mgombea mmoja kuwe na kura za ndiyo au hapana hivyo kufanya wananchi wapige kura...
Back
Top Bottom