Habarini wana jF,
Mimi nikijana mwenye umri wa miaka 22 ninasumbuliwa na tatizo la kuwa na hamu ya kufanya tendo la ndoa kila muda.
Nililikuwa naomba msaada wa dawa inayoweza kuniondolea hamu ya tendo la ndoa ambayo haiwezi kuniathiri nguvu zangu.
Nawasilisha kwenu mchango wako ni muhimu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.