Recent content by simonereneus

  1. simonereneus

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuvaa utokapo usiku

    Watu wengi hupenda kutoka usiku kwa miadi tofauti tofauti. sasa ili utokelezee na uonekane tofauti na wengine unatakiwa kuvaa simple lakini muonekano wa kuvutia. leo nimekuletea jinsi ya kuvaa pindi utokapo usiku. JEANS,SHIRT NA KOTI unaweza ukaamua kuvaa jeans na shati halafu juu ukaweka...
  2. simonereneus

    JamiiForums Tanzania Rais Dr. Magufuli ana kila sababu ya kujifunza kutoka Rais Dr. Shein

    :oops::oops::oops::oops::oops:
  3. simonereneus

    JamiiForums Tanzania jinsi ya kuvaa kwenye harusi

    atiku ni official dress
  4. simonereneus

    JamiiForums Tanzania jinsi ya kuvaa kwenye harusi

    Je umealikwa kwenye sherehe na hujui uvae nini, usijali blog hii ipo kwa ajili yako itahakikisha unapata kitu cha kuvaa na ukatokelezea sana. watu wengi sana hushindwa kwenda kwenye sherehe kutokana na kukos cha kuvaa, kama unavyojua sherehe hukutanisha watu mbalimbali hivyo basi ni vyema...
  5. simonereneus

    JamiiForums Tanzania Clouds Media Group walia na ugumu wa biashara, Kusaga adai wanaweza kufunga hali ikiendelea hivi

    saasa mbona kila sekta hali ni mbaya namna hii gdp itapanda kwel
  6. simonereneus

    JamiiForums Tanzania Kwanini Biblia imeandikwa kwa lugha ngumu?

    Ndo mana nikasema inahitaji utumie muda mwingi kuisoma na uelewe kwamba hakuna binadamu mwenye uelewa mdogo ila tumepishana kwenye kuzingatia
  7. simonereneus

    JamiiForums Tanzania Kwanini Biblia imeandikwa kwa lugha ngumu?

    Ipo hivyo kwa sababu inahitaji utumie muda mwingi sana kuisoma ili uweze kuielewa hivyo basi unakuwa umejengeka zaidi kiimani lakini ingekuwa direct watu wangekuwa wanaisoma kama gazeti kwa kuwa kila kitu kipo wazi kwa hiyo imani ingekuwa haba kwa waumini. I think sio kwa nia mbaya ni kukomaza...
  8. simonereneus

    JamiiForums Tanzania MARA: Mbunge wa Serengeti(CHADEMA), Mwl Marwa Ryoba Chacha ajivua uanachama na kujiunga CCM

    Unaweza ukaunga mkono juhudi za mheshimiwa rais hata ukiwa upinzani cha msingi ni kutokwenda kinyume na sheria jambo jema likifanyika upinzani hukaa kimya ila ikitioke kuna vitu tofauti vimefanyika ndo utasikia upinzani wakipiga kelele but mwisho wa siku ni maamuzi ya mtu #AMEAMUA
  9. simonereneus

    JamiiForums Tanzania Wazungu waling'oa pua za sanamu za Misri ili kuficha ukweli kuwa chimbuko la ustaarabu duniani ni mtu mweusi.

    ukishajua kuwa chimbuko la ustaarabu n africa then what next
Back
Top Bottom