Recent content by simon maulid

  1. S

    JamiiForums Tanzania Wanaume wenye huruma

    True fact.
  2. S

    JamiiForums Tanzania Mchepuko almanusra udakwe bafuni

    Hahahahaha[emoji23] [emoji23] [emoji23] haya miss chaga vpi hii nayo n kweli au? Maana ww ni kama admin kwenye huu uzi.
  3. S

    JamiiForums Tanzania Mchepuko almanusra udakwe bafuni

    Hahahahaha[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] miss chaga na wewe umo nn maana.
  4. S

    JamiiForums Tanzania Offer kwa wanachuo watarajiwa na watu wote..

    Nikupe 1.2M kwa hyo corei7 kweli hyo n bei ya promotion,vpi naweza pata.
  5. S

    JamiiForums Tanzania Haya ya HESLB, TCU na ukosefu wa ajira yanaumiza!!!

    Yaaani wengne mpaka na chuoni tushaingia lakin bado hawajatoa.
  6. S

    JamiiForums Tanzania Catholic university of allied science(BUGANDO)

    Vpi kuhusu cc tuliochaguliwa pharmacy hatuhusiki.
  7. S

    JamiiForums Tanzania Je ni kosa kuchanganya wino kwenye mtihan wa taifa?

    Uko sahihi nimekupata mkuu.
  8. S

    JamiiForums Tanzania TCU kazi kwenu leo

    Daaaaah wengine tuliona janana af ghafla zkapotea,ila leo watatoa.
  9. S

    JamiiForums Tanzania Je ni kosa kuchanganya wino kwenye mtihan wa taifa?

    Hapana nilifanya hvyo kweny GS sasa nilvyo pata ni tofauti na nilivyotegemea,coz nna div one ila GS imechafua PCB,BAM fresh ila GS duuuuh.
  10. S

    JamiiForums Tanzania Je ni kosa kuchanganya wino kwenye mtihan wa taifa?

    Ahsante me nilidhan ni makosa,nimekupata sana.
  11. S

    JamiiForums Tanzania Je ni kosa kuchanganya wino kwenye mtihan wa taifa?

    Ahsante kwa maon yako ndugu.
  12. S

    JamiiForums Tanzania Je ni kosa kuchanganya wino kwenye mtihan wa taifa?

    Instruction inadai uandike kwa blue or black ink.
  13. S

    JamiiForums Tanzania Je ni kosa kuchanganya wino kwenye mtihan wa taifa?

    Kwahiyo ukichanganya nyeusi na blue kama ilivyo elezwa hapo juu c makosa.
  14. S

    JamiiForums Tanzania Je ni kosa kuchanganya wino kwenye mtihan wa taifa?

    Jaman naomben kuuliza,hiv ukichanganya wino mfano kwenye GS ukaandika point yako kwa wino mweusi alafu maelezo kwa wino wa blue nini matokeo yake?
  15. S

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi lapiga marufuku mikutano yote ya ndani na nje ya vyama vya siasa

    hahahahaha hyo kali lakin mpaka m2 kawa hvyo ujue na wao wameisoma.
Back
Top Bottom