Recent content by Simon Kimario

  1. Simon Kimario

    Aliyemtukana Rais Magufuli mtandaoni ana tofauti gani na Mkapa?

    Uniona jigi utadhani njege na ukiona njege utadhani njigi. Safari ni hatua ingawa safari ingali ndefu kweli kweli!
  2. Simon Kimario

    Ajali Arusha: Trafiki Saba, wanasurika kifo, gari la Polisi lagongwa

    Pole sana askari wetu.Mhalifu asakwe na sheria ifuate mkondo wake.
  3. Simon Kimario

    GUNINITA: Simuachi Makonda pamoja na u-DC wake, Kortini lazima

    Hatujui nani ni nani ngojeni vumbi litulie hata hivyo kama historia huwa ina tabia ya kujirudia mgombe wa mwenekiti hakupita awamu zote!
  4. Simon Kimario

    Dr. George Kahangwa Sera ya elimu naipa "C"

    Wale ma-dr walikuwa wanachanganya kati ya sera yenyewe na mikakati ya utekelezaji mwakilishi wa shule binafsi ametiririka vizuri sera ni mzuri kwa kuanzia. Inaondoa ukoloni hivi kwa nini miaka zaidi 50 ya uhuru uendelee kung'ang'ania Kiingereza kufundishia wakati Kiswahili ndicho kinachotumika...
  5. Simon Kimario

    Ripoti ya PCCB yafichwa kulinda familia kuu

    Usilile embe lingali bichi meno yatauma ngoja litaiva utagegeda! Abacha aliachiwa dola milion 100 tu!
  6. Simon Kimario

    Paul Makonda afunguka

    Mbwa huzunguka zunguka kwenye nyumba yenye sherehe.
  7. Simon Kimario

    Chenge: Mimi ni nyoka mwenye makengeza msaka pesa

    Aibu kama ya Mobutu inakuja.
  8. Simon Kimario

    Elibariki Kingu: DC Kijana aliyeadhibiwa kwa uhasama wa kisiasa

    Majungu ya nchi hii ni hatari.
  9. Simon Kimario

    Ridhiwani Kikwete amkosesha Salum Hapi Ukuu wa Wilaya

    Siasa chafu hazifiki mbali.
  10. Simon Kimario

    SUMAYE: Wizi wa kura utatuponza

    Sumaye usitishwe na mawakala na vibaraka wa ufisadi wanaotaka uongozi kwa kununua wapiga kura kaza buti sema usichoke wapo watu mamilioni tunaokuunga mkono.Kama Sumaye anakemea rushwa halafu mtu anatukana basi huyo mtu anatumiwa.Kiongozi yeyote anaye kemea maovu anapaswa kuungwa mkono ili...
  11. Simon Kimario

    Punguzo la PAYE kwa asilimia 1 ni dhihaka kwa wafanyakazi!

    Tatizo kubwa linaloikabili nchi yetu ni kushadidia ITIKADI ZA VYAMA VYA SIASA na lingine ni kule kutochambua mambo kwa kina. Waziri wa Fedha amesema kiwango cha kodi kwa mishahara ya wafanyakazi kimepungua kutoka 13% hadi 12% na kima cha chini kimepanda.Kwa busara tungelisubiri tuone ni kwa...
  12. Simon Kimario

    Profesa Muhongo amekengeuka!

    Huanza hivi hivi baadaye watu hujiuzulu.........tusubiri Masai hutahiriwa bila ganzi !! Tusubiri tuone.
Back
Top Bottom